PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

Mama alimwaga pesa kwa kila mgombea wa dini yake. Uliza mkoa wa Simiyu mwenyekiti alipeta mno
 
Eti mpaka mikoa ya bara (ukitoa mikoa ya Pwani, Lindi, Mtwara, & Tanga) nafasi nyingi zimeenda kwa waislamu

Kama sio uhuni ni nini!
 
Kumbe uchaguzi TZ sio democrasia?
 
Ndio maana ya Siasa hiyo,
 
Wakitoka hapo wanasema waislam wanalalamika sana, nyie mnachokifanya hapa ni kitu gani?
 
Mambo ya Kipuuzi kujadili dini ningekuwa Rais nafanya Kama Korea Kaskazini , dini zenyewe zimejaa utapeli tu

Eti Unauziwa kitambaa na Maji sh 50,000
Kwamba unauziwa Ch*pi 650,000 ndo upate mimba ?

Upuuzi eti kukanyaga Mafuta
Sasa wewe unaona tatizo hapo ni dini...!!?

Tatizo ni akili ndogo ya Watanzania walio wengi.
 
Una hoja.
 
Watu hawajui tu"huyu kuna tetesi ni mtoto wa Out of the Last microphone of the Green company Ltd.. nimesema ni tetesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…