PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

Mama alimwaga pesa kwa kila mgombea wa dini yake. Uliza mkoa wa Simiyu mwenyekiti alipeta mno
 
Eti mpaka mikoa ya bara (ukitoa mikoa ya Pwani, Lindi, Mtwara, & Tanga) nafasi nyingi zimeenda kwa waislamu

Kama sio uhuni ni nini!
 
Tukiwa kwenye kituo cha kujumlisha matokeo ya jumla Mbauda sokoni Mary Chatanda akiwa katibu wa ccm Mkoa Arusha alikuja na vijana wa ccm na Land Cruiser mkonge yenye mapanga katika uchaguzi mdogo Kata ya Sombetini ambapo mshindi katika kiti hicho cha udiwani alitangwazwa Ali Banana ikumbukwe aliyekuwa diwani wa Kata hiyo Alfons Mawazo alijiuzulu kutokana na kile alichoeeleza kutoridhishwa na ufisadi wa ujenzi wa Zahanati ya kata ya Sombetini.
Ndio maana ya Siasa hiyo,
 
Wakitoka hapo wanasema waislam wanalalamika sana, nyie mnachokifanya hapa ni kitu gani?
 
Mambo ya Kipuuzi kujadili dini ningekuwa Rais nafanya Kama Korea Kaskazini , dini zenyewe zimejaa utapeli tu

Eti Unauziwa kitambaa na Maji sh 50,000
Kwamba unauziwa Ch*pi 650,000 ndo upate mimba ?

Upuuzi eti kukanyaga Mafuta
Sasa wewe unaona tatizo hapo ni dini...!!?

Tatizo ni akili ndogo ya Watanzania walio wengi.
 
Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya

View attachment 2430845
VIPI HAPA?
JamiiForums-2062042083.jpg
 
Hiyo mbinu ya kuwake cdm mfukoni na kuwashika akili viongozi wake waendelee kukififisha muitumie vizuri na kwa umakini mkubwa. CCM imewatengenezea cdm hoja nyingi wakati mikutano ya hadhara itakopo ruhusiwa. CCM itakuwa punching bag ya cdm wakati huo Watanzania masikio yakiwawasha kuisikia cdm kwani wamesha zoea kuisikiliza CCM
Una hoja.
 
Watu hawajui tu"huyu kuna tetesi ni mtoto wa Out of the Last microphone of the Green company Ltd.. nimesema ni tetesi.
 
Back
Top Bottom