Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kelele zoote ndo wakabadili gia angani. Huyu nae hakupaswa kabisa kuwemo huu mwaka wa pembaa sheheUchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845
Usijitie kutokuona tatizo.Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845
Huyu kaolewa na swala tano
Wamebadili gia angani baada ya kupigiwa keleleUchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845
Ndio maana ya Siasa hiyo,Tukiwa kwenye kituo cha kujumlisha matokeo ya jumla Mbauda sokoni Mary Chatanda akiwa katibu wa ccm Mkoa Arusha alikuja na vijana wa ccm na Land Cruiser mkonge yenye mapanga katika uchaguzi mdogo Kata ya Sombetini ambapo mshindi katika kiti hicho cha udiwani alitangwazwa Ali Banana ikumbukwe aliyekuwa diwani wa Kata hiyo Alfons Mawazo alijiuzulu kutokana na kile alichoeeleza kutoridhishwa na ufisadi wa ujenzi wa Zahanati ya kata ya Sombetini.
UlamaaCCM ni baraza kuu la maimamu Tanzania
Nyie watu mtapata stroke zisizo na sababu aisee!Huyo kachomekwa wanasema funika kombe mwanaharamu apite.
Sasa wewe unaona tatizo hapo ni dini...!!?Mambo ya Kipuuzi kujadili dini ningekuwa Rais nafanya Kama Korea Kaskazini , dini zenyewe zimejaa utapeli tu
Eti Unauziwa kitambaa na Maji sh 50,000
Kwamba unauziwa Ch*pi 650,000 ndo upate mimba ?
Upuuzi eti kukanyaga Mafuta
VIPI HAPA?Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845
Babu zao wakianzisha AA,TAA,TANU..wakati babu zenu wakilima maparachichi uyoleVIPI HAPA?View attachment 2431092
kuna mikoa mingi sana tz, dar ni moja tuVIPI HAPA?View attachment 2431092
Una hoja.Hiyo mbinu ya kuwake cdm mfukoni na kuwashika akili viongozi wake waendelee kukififisha muitumie vizuri na kwa umakini mkubwa. CCM imewatengenezea cdm hoja nyingi wakati mikutano ya hadhara itakopo ruhusiwa. CCM itakuwa punching bag ya cdm wakati huo Watanzania masikio yakiwawasha kuisikia cdm kwani wamesha zoea kuisikiliza CCM