PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

Huyu Mary Chatanda aliwanyoosha sana CHADEMA kule Arusha nadhani ndio maana wanawake wamekuwa na imani nae sana,

Hongera Sana CHATANDA, Yale uliyoyafanya Arusha yafanye Sasa Tanzania nzima,

Aliwanyooshaje?. Wakati ule ulikuwa ulaghai. Diwani wa mkoa mwingine wa Tanga analetwa Arusha ili to u kuongeza kura.
 
Huchui Mary Chatanda alichowafanya CHADEMA kweli Arusha Au unacomment usichokijua?

Acheni sifa za kijinga alifanya nini CHADEMA. Forgery ndio mnachokisifia?. Kumtoa diwani Tanga na kumuingizia Arusha ili mpate kura moja ya ziada?. Ujinga wa Hali ya juu.
 
CCM itatawala kwa miaka 500

Miaka 500 unaijua?. Miaka 60 imewashinda mpaka mmeanza kuzuia wengine kufanya siasa kwa miaka Saba. Hiyo miaka 500 mtaiweza? Chama Cha mashetani kilicholaaniwa.
 
Aliyetoa jibu hapo juu hakuna anachokijua. Uwakilishi kutoka jumuiya nyingine (UVCCM, WAZAZI) kwenda UWT ni lazima awe mwanamke.

Hao probably watakuwa ni makatibu wa UWT kwenye wilaya au mkoa. Hivyo ni wajumbe halali wa mkutano. Makatibu ngazi ya wilaya kwenda taifa ni waajiriwa. Ni possible kuwa na katibu mwanaume kwenye jumuiya ya UWT.

Kama sivyo basi ni waratibu wa uchaguzi.
Asante kwa kunipa jibu zuri mkuu, hapo sasa nimeelewa
 
Hii imekaaje maana jana Samia kamuunga mkono Bashiru kauli yake ya Mama anaupiga mwingi 🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo awanyoshe Watanzania?. Mbona wakati fulani mna hoja za kipumbavu sana??. Talk about development Acha Uchawa na Ukunguni wa Kitoto.
Hao ni maiti wanaotembea
 
Back
Top Bottom