PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

Nakumbuka huyu mwanamke ni kati ya watanzania wenye viburi sana vya madaraka enzi hizo akiwa mbunge wa wapi sijui. Poleni watanzania; mtaendelea kudanganywa hadi mchakae.
Tunamtaka huyu Huyu
 
Huyu?!
IMG-20221128-WA0001.jpg
 
Huyu Mary Chatanda aliwanyoosha sana CHADEMA kule Arusha nadhani ndio maana wanawake wamekuwa na imani nae sana,

Hongera Sana CHATANDA, Yale uliyoyafanya Arusha yafanye Sasa Tanzania nzima,
Tukiwa kwenye kituo cha kujumlisha matokeo ya jumla Mbauda sokoni Mary Chatanda akiwa katibu wa ccm Mkoa Arusha alikuja na vijana wa ccm na Land Cruiser mkonge yenye mapanga katika uchaguzi mdogo Kata ya Sombetini ambapo mshindi katika kiti hicho cha udiwani alitangwazwa Ali Banana ikumbukwe aliyekuwa diwani wa Kata hiyo Alfons Mawazo alijiuzulu kutokana na kile alichoeeleza kutoridhishwa na ufisadi wa ujenzi wa Zahanati ya kata ya Sombetini.
 
Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya

instagram.jpg
 
Yaani unachohoji Mkuu,ni sawa na watu mahali fulani wanalalamika tenki la maji limejaa mpaka yanamwagika;alafu wewe unakuja mbio na ndoo,kisha unachota ndoo moja alafu unakimbia kwenda kumwaga sehemu,baada ya kurudi;unawauliza tena Kama bado maji yanamwagika!!
Sasa ukipunguza ndoo moja kwenye tenki lililojaa maji,unakuwa umefanya nini?Utakiwi kuchota na ndoo ili yapungue bali unapaswa kufunga koki kule maji yanakotokea maji!!
 
Hiyo mbinu ya kuwake cdm mfukoni na kuwashika akili viongozi wake waendelee kukififisha muitumie vizuri na kwa umakini mkubwa. CCM imewatengenezea cdm hoja nyingi wakati mikutano ya hadhara itakopo ruhusiwa. CCM itakuwa punching bag ya cdm wakati huo Watanzania masikio yakiwawasha kuisikia cdm kwani wamesha zoea kuisikiliza CCM
 
Mambo ya Kipuuzi kujadili dini ningekuwa Rais nafanya Kama Korea Kaskazini , dini zenyewe zimejaa utapeli tu

Eti Unauziwa kitambaa na Maji sh 50,000
Kwamba unauziwa Ch*pi 650,000 ndo upate mimba ?

Upuuzi eti kukanyaga Mafuta
 
Back
Top Bottom