M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Mhe Mary Hongera Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamtaka huyu HuyuNakumbuka huyu mwanamke ni kati ya watanzania wenye viburi sana vya madaraka enzi hizo akiwa mbunge wa wapi sijui. Poleni watanzania; mtaendelea kudanganywa hadi mchakae.
TISSSijaelewa wakuu kwenye duara namna gani hapo?View attachment 2430084
Hiyo sura kama dume[emoji28]
Tanga moja hiyoMary Pius Chatanda, anaweza akawa mhadizabe huwezijua mkuu
Tukiwa kwenye kituo cha kujumlisha matokeo ya jumla Mbauda sokoni Mary Chatanda akiwa katibu wa ccm Mkoa Arusha alikuja na vijana wa ccm na Land Cruiser mkonge yenye mapanga katika uchaguzi mdogo Kata ya Sombetini ambapo mshindi katika kiti hicho cha udiwani alitangwazwa Ali Banana ikumbukwe aliyekuwa diwani wa Kata hiyo Alfons Mawazo alijiuzulu kutokana na kile alichoeeleza kutoridhishwa na ufisadi wa ujenzi wa Zahanati ya kata ya Sombetini.Huyu Mary Chatanda aliwanyoosha sana CHADEMA kule Arusha nadhani ndio maana wanawake wamekuwa na imani nae sana,
Hongera Sana CHATANDA, Yale uliyoyafanya Arusha yafanye Sasa Tanzania nzima,
Huyo kachomekwa wanasema funika kombe mwanaharamu apite.Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845
Huyo kachomekwa wanasema funika kombe mwanaharamu apite.Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845
Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845
Hujui chaguzi za CCM wewe kaa kimya.Yeyote aliechaguliwa Kwa Kura ni haki na halali yake....wanaosema udini hawajui maana ya uchaguzi...
Udini unakuwepo kwenye teuzi sio uchaguzi...
Mmeona baada ya watuu kupitia keleleUchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845