Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Kijana yupo kwenye right Track,
Anafanya kazi tajika vizur sana....

Na I can confirm to you without fear of contradictions kwamba, yote haya yanafanyika hivo yanavyofanyika kwa makubaliano maalumu na maelekezo makini mno na hao hao unao watetea, kwamba hawawezi kuwa sommoned na Mwenezi.

Friends, in politics nothing happens out of mere coisidence, every thing is well planned, organized and executed to achieve a certain political objectives......

you can just imagine the objectives of muenezi movie...
 


Nguli kujitoa CCM? Nguli yupi amebaki ndani ya CCM?

CCM kwa sasa Kama Chama kwa ujumla wake ni entity inayosimama yenyewe.

CCM imefikia hatua ya ku mature kiasi kwamba wanaweza kuondoka wanachama wote wa sasa na wakaingia wapya na bado ikaendelea ilipoishia.

CCM ni dubwana.
 
What is he up to? Anyway, labda wametumana na ajenda ya kueleweka. Maana hapa katikati kuna watu wamepewa madaraka na wameyatimba
 


You made the whole thing too personal!

Blinded by hate maybe?
 
Tusubiri 2025 kwenye kilio cha tulishinda ila tumeibiwa kura 😂 mimi cjawah kupiga kura na wala sina mpango wa kuja kupiga kura hvy ht cjui anayeshinda na anayeshindwa hua kura zao zipoje
Safari hii jaribu kumpigia huyo katibu mwenezi wa chadema angalau na yeye apate kura mbili tatu asiaibike kama wenzake 🤣🤣🤣
 
Mugambo wana ruka na kukanyagana........homa ya 2025 imewafanya wamechanganyikiwa.

Makonda hakutakiwa hapo alipo ila kwa kuwa ni watu wa fujo na vurugu


Sasa kinyago kinawatisha wao wenyewe.
 
Pascal Mayalla ushauri wako ni mzuri sana ila tunachofanya sasa ni kurejesha imani ya Chama kwa wananchi, hakuna anayeweza kufanya hivyo kwa sasa isipokuwa kupitia chama chetu cha mapinduzi tu. Hakuna mkubwa kwenye chama, msemaji na mwenezi ndiye mdomo wa chama. Acha aamshe amshe hayo ya protocal yatafuata baadaye ila tunachotaka hizi ziara zikiisha basi tutarudi ground zero na Mamlaka itapita kuwajibisha. Sauti kama hii watanzania tulikuwa tumeimisi tunahitaji viongozi wawajibikaji. Najua una point ila kwa hali tuliyokuwa tumefikia CCM ilikuwa inachukiwa sana kiasi chawa tulikuwa tunapata tabu kukipambania chama ila nyomi ya Makonda tunakula kuku kwa mrija hahaha
 
Anaamsha au anajichosha tu

Chama hicho mbeleko yake ni vyombo vya dola tu wala sio mwenezi
 
Labda ameagizwa kufanya hivyo ??!!
Maana kama ni vinginevyo mamlaka ingeshamfunga spidi gavana !
 
Never outshine your boss!.
Mwenezi ni No. 7 kwenye hierarchy ya chama, ana mabosi 6 juu yake M/Kiti, M/Kiti Bara, M/Kiti ZnZ, KM, NKM Bara, NKM ZnZ ndipo anakuja Mwenezi!.
P
Nyota ya mtu ikiwaka yule mtu anakuwa unstoppable !!

Tusisahau hata Hitler alianzia kwenye kuuza magazeti barabarani akapanda haraka haraka mpaka kuwa boss kubwa kabisa !

Ngoja tusubiri tuone !!
 
Karma ina mambo mengi,
Ngoja tuone !
 
Uko vizuri comrade. Ishu ni mapenzi ya wananchi kutaka kuona na kusikia amri na maelekezo waliyokuwa wameyazoea awamu ya tano yakitolewa. Makonda akitumia lugha laini za kubembeleza na kuwaomba mawaziri basi( japo kikweli anawaheshimu sana tu) wananchi hawatamuelewa. Hivi majuzi wamewaona wabunge wao wakiikosoa serikali juu ya ubadhirifu wa mali ya umma. Lugha za kimamlaka za wabunge kama mpina, msukumo na wengine ndizo zilizokubaliwa na kueleweka vizuri.
Ngoma hii inachezwa vizuri sana japo tahadhari yako Pia ni muhimu lakini sio Kwa kubadilisha mfumo wa utoaji wa maelekezo ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…