Hakuna heshima yoyote tutakayoikosa kwa kuwapuuza hawa. Sisi ni superior hilo lipo wazi, historia yetu inatubeba. Hatuna sababu ya kuitafuta heshima. A beast is a beast. Tanzania ni beast of Africa tangu NyerereUkiwa unafikiria faida ya pesa ndani ya muda mfupi unaweza kuwa sawa, ila tunachokitafuta ni heshima kwa nchi yetu na faida za muda mrefu za kiuchumi
Mbona serikali ya kenya haikuiweka tanzania kwenye orodha ya nchi ambazo zimeruhusiwa kuingia kenya? Kwa sababu hawakukua na Nia ya kuanza Safari za moja kwa moja Hadi tanzania na ndio maana hata leo precision airline wamecancel Safari zao maana hawana wasafiriKama ni waoga wa Corona, mbona wanataka ndege zao zije Tanzania kwenye Corona?, unazijua dalili za watu wanafiki?
Ukiwa na akili ndogo wewe ni dogo tu1. Unaonekana ni mkosefu wa adabu. Hujui anaye comment ni nani halafu unwita dogo. Hii inatosha kukuweka katika kundi la wale wasiojua mambo.
2. Hivi unaijua historia ya hizi nchi mbili!? Unajua chanzo cha kuvunjika kwa uhusiano miaka ya 70s.
3. Wewe unafurahia watanzania wakiingia kenya wafungiwe siku 14!? Halafu wao waje kwetu free!?
Soma taarifa uwelewe, wamesema weak demand meaning no travellers, ndege haiwezi ukafanya ruti ambazo hazina wasafiri watafanya losi.Nawapongeza sana prec.Air kwa Hatua nzuri hiyo
Umeshindwa kutuambia waume wanavyolia unabwabwaja tu.Wewe naye wale wale kumbe.
hujaishi kijijini eeh, unajua kitu inaitwa ngolo au mwano!? Hiyo uuwiii hutumika kama sauti ya kuomba msaada wa haraka.Mwanaume kutoa milio ya kike unamaanisha nini?
Turudi kwenye mada. Unadhani hiyo itaongeza mapato kwenye kampuni hiyo ya ndege?
Superior kwa uchawi sio? Ama superior kwa kutuma omba omba Kenya?Hakuna heshima yoyote tutakayoikosa kwa kuwapuuza hawa. Sisi ni superior hilo lipo wazi, historia yetu inatubeba. Hatuna sababu ya kuitafuta heshima. A beast is a beast. Tanzania ni beast of Africa tangu Nyerere
And that weak demand is because Kenyans in Tanzania have all come back so there are no people to carry. Watanzania hawapandangi ndege.Soma taarifa uwelewe, wamesema weak demand meaning no travellers, ndege haiwezi ukafanya ruti ambazo hazina wasafiri watafanya losi.
Umeona uhuru akionesha Nia ya mazungumzo? Tunasubiri uchaguzi uishe tufanye mazungumzo na rais mpya wa JMT Tundu Antipass Lissu jamaa anaejielewa sio kile kituko,kwa taarifa yako kuanzia tarehe 29 oktoba zile buku Saba unapewa pale lumumba Sasa Basi.Tunachotaka ni respect from our all neighbors the same way we respect them, otherwise we shall retaliate accordingly the way it happen now.
Uchawi na ombaomba kwa nchi kubwa kama Tz unaviweka kwenye vipaumbele vya mawazo yako na unataka tujadili hii hoja? Tuishie hapa.Superior kwa uchawi sio? Ama superior kwa kutuma omba omba Kenya?
Huyo ni wale wenye taasubi za kiume .hujaishi kijijini eeh, unajua kitu inaitwa ngolo au mwano!? Hiyo uuwiii hutumika kama sauti ya kuomba msaada wa haraka.
Uwiiiii inatumiwa hadi na maprodyuza kweny production ya ngoma nying za hip hop.
Exactly.And that weak demand is because Kenyans in Tanzania have all come back so there are no people to carry. Watanzania hawapandangi ndege.
Hehehe ati Tanzania ni nchi kubwa? Tanzania ni level ya Somalia, South Sudan, Burundi etc.Uchawi na ombaomba kwa nchi kubwa kama Tz unaviweka kwenye vipaumbele vya mawazo yako na unataka tujadili hii hoja? Tuishie hapa.
Mwanaume kutoa milio ya kike unamaanisha nini?
Turudi kwenye mada. Unadhani hiyo itaongeza mapato kwenye kampuni hiyo ya ndege?
Mambo haya ya ubabe ni ya kishamba, nyie ni washamba, ungekuwa ni mjanja ungejaribu kuvaa viatu vya Watanzania wanaotegemea huduma za anga kibiashara, wenye mahoteli wanaotegemea wageni toka Kenya na Watanzania wanaofanya biashara Kenya.
Acheni ufala huu sio wakati wa kufurahia migogoro yrnye athari kiuchumi
Hahahhaah rip fadha neli 🤣hujaishi kijijini eeh, unajua kitu inaitwa ngolo au mwano!? Hiyo uuwiii hutumika kama sauti ya kuomba msaada wa haraka.
Uwiiiii inatumiwa hadi na maprodyuza kweny production ya ngoma nying za hip hop.
We endelea tu kuteseka ila ndo hivyo ndo ishakua na ndio chaguo la wengi madhali wengi wanafurahia uamuzi huo wa serikali bc wewe huna faida hata ukivimba ila Magufuli lazima apate mitano tena atuongezee ndege za kimataifa na ya mizigo ili tuwanyooshe vizuri na wivu wenu wa kijingaMambo haya ya ubabe ni ya kishamba, nyie ni washamba, ungekuwa ni mjanja ungejaribu kuvaa viatu vya Watanzania wanaotegemea huduma za anga kibiashara, wenye mahoteli wanaotegemea wageni toka Kenya na Watanzania wanaofanya biashara Kenya.
Acheni ufala huu sio wakati wa kufurahia migogoro yrnye athari kiuchumi
jambo hili halina Afya kwa uchumi wa nchi zote mbili,Watalii waliopo kenya watafikaje Tanzania?Je ni vipi tutawashawishi watalii waliokua na nia ya kutembelea Mombasa,Malindi,Zanzibar,Serengeti na nk..wasicancel route zao.Tunahitaji kufikiri Upya kama huu mgogoro unatusaidia ama la,Kenya ilitaka kutumia Covid -19 Kuharibu image ya Tanzania lakini na sisi tumechagua njia ya sumu ambayo hata sisi inatupata,haina tofauti na kuweka sumu ya panya halafu umeacha ndoo za maji wazi panya akikimbilia humo atakuafa ndio lakini ataacha sumu kwenye maji yako.We have to rethink Again.MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache ateseke huyo mwaswat kabadili jina tuKwani hao wakenya walipoamua kuweka vikwazo kwa watanzania kuingia Kenya hawakujua kwamba wanasumbua wafanya biashara wa Tanzania?, ulitaka tukae kimya au tuwapigie makofi?