Precision Air yafuta Safari zote za kwenda Kenya licha ya Kenya kuruhusu Safari zake

Umeona uhuru akionesha Nia ya mazungumzo? Tunasubiri uchaguzi uishe tufanye mazungumzo na rais mpya wa JMT Tundu Antipass Lissu jamaa anaejielewa sio kile kituko,kwa taarifa yako kuanzia tarehe 29 oktoba zile buku Saba unapewa pale lumumba Sasa Basi.
Huyo kibaraka wenu ataiota ikulu ndio maana mkakimbilia kumfanyia interview
 
Kila mtalii achague anapotaka kwenda
 
Alafu Wakenya hasa viongozi wao wanatuchukuliaje watz?
 
Kitaelewekaka tu... Kati ya TANU na KANU kipi Ni kipi ..... Historia ipo tu ukienda huko SADAC utakutana ZANU na nyingine nyingi....ngoja waendeleee kujifungia.........
 
MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unachekelea abiria kukosekana? Unadhani muathirika namba moja kwenye hili ni Kenya?
Nchi hii ina matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri.
Total nao wametangaza kuuza assets zao zilizopo Tanzania. Kenya kwao (Total) ni upstream market.
Shangilia na hilo pia.
 
Usitufokeee. Una mji wako, halafu nije nikupe masharti ya namna ya kuishi kwako wkt huo nakuchonganisha na jamii nzima. Utakubaliana na unyanyasaji huo kisa biashara?

By the way, ndege zimeanza kutua direct Tanzania, na hapo ndo wakenya wananuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…