President Samia on a panic mode

She won't get anywhere past 2025.
Yaani asichokijua ,niwanaomzunguka ni wanafiki sana na amewaachia wajilimbikizie mali /yaani wanapesa sasa na ndizo watakazo mmaliza nazo akifikiri anajeshi la polisi.Nimeanza kuona awe makini sana 2025 kwa CCM itapasuka vipande vipande yaani upinzani wala hawana shida a deal na MaCCM tu
 
Mambo ni mengi - hadi muda huu kanuni zitakazotumika uchaguzi Serikali za mitaa hazijatoka.
Nini chini ya kapeti
 

..sasa hivi Maza ndio ana pesa kuzidi kila mtu ktk Ccm.
 
Ccm wanamuendeshea kampeni mbaya sana ya Uzanzibari. Juzi nimeenda kijiji kimoja porini huko nimakuta hizo stori sikuamini, nilifikiri ni watu wa mjini tu wana hizo mawazo kumbe sio, hata bush wanazijua.
 
Mkuu it is true ,but kuna kizazi hiki cha sasa cha 2000 ,kuna fukuto kubwa sana hawatakuwezekana kwani hata wazazi wamewashindwa na sasa wameanza kuingizwa jeshini,JKTnk na pia wako kwa wingi kwenye ICT watavuruga ,dunia ijayo ya next 5 years sio nzuri .CCM inatakiwa wajiendeshe kisayansi na sio propaganda tena.Gap ya Wazee wenye nacho against vijana gap inakuwa kubwa sana
 
Kazi nyingine ipo hapa sisi wanaume kwa dini na imani zetu tofauti tofauti, kwenye vitabu vitakatifu tumekatazwa kabisa na Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi kuongozwa na mwanamke .
 
Nadhani yeye mwenyewe hana shida sana ya kuendelea na urais.Inaonekana wanaomzunguka ambao wananufaika na urais wake ndiyo shida.

Kama Mwalimu Nyerere alivyowahi kusema kuwa kila alipotaka kung'atuka wateule wake walikuwa wanamshawishi aendelee ili kulinda maslahi yao.
 
Wasiojua Nguvu ya Mwenyekiti wa CCM akiamua kua dikteta hakuna kitu mtafanya yeye ni Mwenyekiti hapo hapo ni Amiri mkuu wa Majeshi acheni utani basi Samia yupo akiamua kua Dikteta hakuna Mwanachama anaweza kusema chochote hata hao wakina makamba anaweza kuwanyanganya kadi za Uanachama amkumbuki Magu
 
Hapa Sasa itakuwa ni "reject the gender balance order" siyo reject the finance bill
 
Uko sahihi, ni kama wakati wa Magufuli tu, alipoona kuwa kuna watu hawampendi, akajua kura za halali zitamfanya aonekane kuna kundi kubwa halimpendi, hivyo ikabidi apore mchakato wa uchaguziz ili kupata kura alizotaka.
 
atashindwa kwenye kapu la mkutano mkuu maalum. kwa heshima yake hapungukiwi na chochote akiamua kuwaachiea wengine, itampa furaha na amani ya wakati wote wa maisha yake.
Hivi wewe unajua nguvu ya Rais na mwenyekiti wa CCM? Hakuna mjumbe wa mkutano mkuu anayeweza kuthubutu kufanya hicho unachodhani.. wanaweza kufyekwa nusu wa wajumbe wa mkutano mkuu na kuishia kupoteza uanachama. Mwalimu Nyerere akiwa mwenyekiti wa CCM alimvua madaraka yote aliyokuwa nayo Rais wa Zanzibar ndani ya saa 24.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…