Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Wagner wapo salama wakiwa chini ya uongozi wa urusi vinginevyo wamekwisha. Tayari marekani amekiita kikundi Cha ugaidi pia tayari Wagner wameshaingilia maslahi ya ufaransa lakini serikali za Us na ufaransa zinasita kuwachukulia hatua au kuwashambulia kwa sababu ya kumwogopa mrusi kitendo Cha uasi kingefanywa apigwe pande zote na huo ungekuwa mwisho wao
 
Wagna wangesema waendelee na msafara wao kuelekea moscow jua la kesho asubui wasingeliona walahi maana waliwekewa trap moja mbaya sana yaan wangekufa kwa tabu sana.
Umeshasema "wange"!!
Yaani washindwe kujua mipango yake ya mutiny na kum neutralize mapema waje kumuwekea trap akiwa anaingia Moscow?!
Inawezekana tunawapa Russia ukubwa wasiokua nao, mind you mimi ni pro-Russia pia!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Don't trust RUSSIA ni wahuni wote Putin na Mwenzake Wa Wagner wamekula mchongo lengo lilikuwa ni Kuwasaka wasaliti ni wakina nani na nani, hii ni fikra na minong'ono!!!!!
KATIKA vita usiamini stori yoyote ya adui yako anatafuta mbinu ya kukuchapa zaidi...IMAGINE sasa kiongozi wa Wagner anasema wao wana rudi kwenye kambi zao baada tu ya kuambiwa watahakikishiwa Ulinzi na Urusi HUU NI UTANI NEXT TIME hamna kuwaamini hawa WAHUNI WOTE wanajuana na hawa wote ni kitu kimoja wahuni sana
Ikiwa ni hivyo basi serikali ya Urusi inaongozwa kama kundi la mafia.
 
The Russian civil war appears to be over. Here's where things stand right now:

1. Cohesion in Russia's national leadership has been irreparably fractured.

2. Russian military confidence and morale are broken.

3. Putin and Prigozhin have both backed down, Putin went from "Crush the traitors" to offering Prigozhin security guarantees. He is now widely seen as weak and vulnerable.

4. Russian forces have lost the Wagner group in the field. Wagner PMC is being withdrawn from active duty. They can no longer be relied upon to fight alongside regular Russian troops.

5. Tens of thousands of Russian troops will need to be redeployed to the Russian heartland to protect against further coup attempts.

6. The situation for Ukraine has improved significantly. Thousands of Russian troops will be taken out of play for zero cost to the Ukrainians. Ukraine is now dealing with a weakened Putin instead of the original Putin or the psychotic Progozhin.

7. Seven Russian aircraft were shot down and 12 russian airmen have lost their lives.
 
Kwa alichokifanya,lazima kina mkono na USA/NATO. Leo mjini Moscow raia walianza kupigiwa simu na unknown caller zikiwataka wananchi kuunga mkono uasi na wajitokeze kuandamana. Prigozhin hana nguvu hiyo peke yake, kumbuka hata UKRAINE kwenye vita anasaidiwa na Moscow.
Atatiwa sumu tu ya kummaliza kimya kimya🤣
 
Don't trust RUSSIA ni wahuni wote Putin na Mwenzake Wa Wagner wamekula mchongo lengo lilikuwa ni Kuwasaka wasaliti ni wakina nani na nani, hii ni fikra na minong'ono!!!!!
KATIKA vita usiamini stori yoyote ya adui yako anatafuta mbinu ya kukuchapa zaidi...IMAGINE sasa kiongozi wa Wagner anasema wao wana rudi kwenye kambi zao baada tu ya kuambiwa watahakikishiwa Ulinzi na Urusi HUU NI UTANI NEXT TIME hamna kuwaamini hawa WAHUNI WOTE wanajuana na hawa wote ni kitu kimoja wahuni sana
Hahah prigo ni mnyabumbu, naona Pro Nato visimi viliwasimama🤣 wakidhani ataasi urusi na kumuondoa Putin! Huyu Prigo ni muhuni analeta Comedy vitani msimchukulie serious🤣🤣🤣
 
Na kwann Putin hakumtaja Prigozhin kwenye hotuba yake yote?? Badala yake akawa anasema tu "Muhaini hasamehewi?".

Ni kweli Prigozhin alitaka kabisa kumsaliti rafiki yake wa muda mrefu???.

Ni nani Muhaini? Kwann Putin hakumtaja Moja Kwa Moja ?.
Tumieni akili wagner hawana uwezo wowote wa kupigana na jeshi la urussi hata kwa asilimia 2% tumieni akili ....ndiyo maana nikauliza wagner wameua askari wa urusi wangapi tena kwenye mapigano gani .... kitu ambacho serikali ya urusi kimemfanya kuwa mvumilivu kwa hicho kikosi ni kikosi cha warusi pia na watoto wa urusi ndiyo wanakitumikia tena chini ya mwongozo wa serilali kuu ....kwa serikali ya urussi ilichora mstari mwekundu kama watavuka basi ilikuwa ni amri moja tu ya kuwa vunja nguvu kijeshi ni kazi ya siku 3 tu kikosi kinasambaratika na kusalitiana kwa kujiunga na jeshi
 
Kwa alichokifanya,lazima kina mkono na USA/NATO. Leo mjini Moscow raia walianza kupigiwa simu na unknown caller zikiwataka wananchi kuunga mkono uasi na wajitokeze kuandamana. Prigozhin hana nguvu hiyo peke yake, kumbuka hata UKRAINE kwenye vita anasaidiwa na Moscow.

Si kila kitu kina mkono wa NATO, prigo hapati love from main military. Kupigiwwa simu ma unknown caller ni rahisi sana, pesa tu
 
Tumieni akili wagner hawana uwezo wowote wa kuoigana na jeshi la urussi hata kwa asilimia 2% tumieni akili ....ndiyo maana nikauliza wagner wameua askari wa urusi wangapi tena kwenye mapigano gani .... kitu ambacho serikali ya urusi kimemfanya kuwa mvumilivu kwa hicho kikosi ni kikosi cha warusi pia na watoto wa urusi ndiyo wanakitumikia tena chini ya mwongozo wa serilali kuu ....kwa serikali ya urussi ilichora mstari mwekundu kama watavuka basi ilikuwa ni amri moja tu ya kuwa vunja nguvu kijeshi ni kazi ya siku 3 tu kikosi kinasambaratika na kusalitiana kwa kujiunga na jeshi
Mkuu una bachelor ya usalama nn🤣🤣🤣Povu zito
 
ILA MIMI SIELEWI KITU PAMOJA NA WATU I MEAN PRO RUSSIA KUICHUKIA MAREKANI ILA ASILIMIA 97% YA WATU HAO ESPECIALY VIJANA WA KITANZANIA WANATAKA WAKAISHI MAREKANI AU ULAYA HUKO ILIPO NATO KWANI URUSI HAKUNA MAISHA MBONA ULAYA NA MAREKANI TU????
 
Wagna wangesema waendelee na msafara wao kuelekea moscow jua la kesho asubui wasingeliona walahi maana waliwekewa trap moja mbaya sana yaan wangekufa kwa tabu sana.
Hahaaa trap uijuwe ww upo mbagala hlf wagner wapo Urusi wasiijue , nyiny ndo mnapotosha watu vijiwen
 
Huo ulikuwa ni mchezo wa Russia, baada ya hapa wasaliti halisi waliojipendekeza nadhani wataliwa vichwa.
Muwe mnatumia akili , jeshi uongozwa kwa order kutoka kwa mkuu wao , sasa unawajuaje wasaliti kama wao wanafuata order tu ya Prigo , hv hz akili mmeacha wap ? Ndio maana mnasaini mikataba isiyo na muda , akili bure kbs
 
Don't trust RUSSIA ni wahuni wote Putin na Mwenzake Wa Wagner wamekula mchongo lengo lilikuwa ni Kuwasaka wasaliti ni wakina nani na nani, hii ni fikra na minong'ono!!!!!
KATIKA vita usiamini stori yoyote ya adui yako anatafuta mbinu ya kukuchapa zaidi...IMAGINE sasa kiongozi wa Wagner anasema wao wana rudi kwenye kambi zao baada tu ya kuambiwa watahakikishiwa Ulinzi na Urusi HUU NI UTANI NEXT TIME hamna kuwaamini hawa WAHUNI WOTE wanajuana na hawa wote ni kitu kimoja wahuni sana
Msaliti utamjuaje hapo ? kuna vitu mnaambiana akili mkiwa mmezima , jeshi la serikali unafuata order ya mkuu wa majeshi , pia wagner unafuata order kwa Prigo , msaliti unamjuaje ?
 
Back
Top Bottom