Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Bongo kipaumbele,platform kubwa sahv wanapewa wasanii wakata mauno
Ova
Basi
Hilo tu ndio wanajua kwa kweli
Yaani tunahitaji mabadiliko ya kiakili hata kama tuna viongozi wa ajabu itabidi tujiongeze sasa maana kwa hali hii hata miaka 200 bado tutakuwa hivi hivi