Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Huu utaratibu unawezekana ikiwa umeshatoka kwenye chain ya umaskini. Huwezi kuanza kula matango na mayai tu wakati kazi yako ni Kubeba magunia ya viazi sokoni.
 
Yes Baghdad Sugar ilimpitia ,alisema alikuwa kwa siku anapiga hadi soda 15.

Hasanali alipungua kwasababu aifanya section alipigwa kisu South Africa.

Yes Boma Ye alipungua coz ya kuumwa.
Soda huwa sio nzuri, zina viwango vikubwa vya sukari. Tujitahidi kuziepuka.

Chidi Benz pia alikuwa na bonge la mwili zamani ila baadaye akapungua sana, ukimtazama hayupo kama zamani, sijui pia umri unakwenda kwenda!
 
Hapa anaongelea wenye vipato vya uhakika wewe enndelea kula tu kila kinapopatikana
 
Mkuu sukari ina umuhimu wake tusidanganyane ila tuambie tuwe na kiasi sukari is more than tea tuna matumizi nayo mengi
Madhara ya sukari mwilini hayapo kwenye chai tu. Mwili hausemi kuwa hii ni sukari ya kwenye keki pita kulia, hii ni ya kwenye chai pita kushoto. Hata sukari ya kwenye matunda pia sio nzuri especially kwa haya matunda yatokanayo na GMO.
Hiki ni kizazi chenye access to information kwa kiasi kikubwa sana chukua muda wako Google kuhusu fructose na madhara yake halafu uone pia kama unapenda kujisomea vitabu tafuta kitabu kinaitwa the diabetes code, author ni Dr. Jason Fung kimeeleza kwa undani sana kuhusu type 2 diabetes.
 
Anapenda ujiko,mbona Mimi sili kabisa na sijisifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…