Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Huu utaratibu unawezekana ikiwa umeshatoka kwenye chain ya umaskini. Huwezi kuanza kula matango na mayai tu wakati kazi yako ni Kubeba magunia ya viazi sokoni.
 
Yes Baghdad Sugar ilimpitia ,alisema alikuwa kwa siku anapiga hadi soda 15.

Hasanali alipungua kwasababu aifanya section alipigwa kisu South Africa.

Yes Boma Ye alipungua coz ya kuumwa.
Soda huwa sio nzuri, zina viwango vikubwa vya sukari. Tujitahidi kuziepuka.

Chidi Benz pia alikuwa na bonge la mwili zamani ila baadaye akapungua sana, ukimtazama hayupo kama zamani, sijui pia umri unakwenda kwenda!
 
Ana nidhamu ya kula. Ishu ya kulakula inategemeana na uwezo wa mtu kupata chakula. Huwezi kupanga masaa ya kula kama huna uhakika wa kula utakulakula chochote kinacholiwa ukikutana nacho. Wengine hufakamia vyakula kwa kuwa wamevipata kama bahati na hawana uhakika wa kuvipata tena kwa hiyo wanavibugia. Unakuta mtu hana utaratibu wa kula kwa kuwa bajeti murua ya chakula hana. Wengine wana uwezo wa kupata chakula aina zote ila nidhamu ya kula hawana
Hapa anaongelea wenye vipato vya uhakika wewe enndelea kula tu kila kinapopatikana
 
Mkuu sukari ina umuhimu wake tusidanganyane ila tuambie tuwe na kiasi sukari is more than tea tuna matumizi nayo mengi
Madhara ya sukari mwilini hayapo kwenye chai tu. Mwili hausemi kuwa hii ni sukari ya kwenye keki pita kulia, hii ni ya kwenye chai pita kushoto. Hata sukari ya kwenye matunda pia sio nzuri especially kwa haya matunda yatokanayo na GMO.
Hiki ni kizazi chenye access to information kwa kiasi kikubwa sana chukua muda wako Google kuhusu fructose na madhara yake halafu uone pia kama unapenda kujisomea vitabu tafuta kitabu kinaitwa the diabetes code, author ni Dr. Jason Fung kimeeleza kwa undani sana kuhusu type 2 diabetes.
 
Mbinguni tutapata miili mipya
Siku ukipata type 2 diabetes utajua hujui.
20240220_212109.jpg
 

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.

Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.

Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Anapenda ujiko,mbona Mimi sili kabisa na sijisifu.
 
Back
Top Bottom