Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Mkuu una hoja nzuri Ila avatar yako inanuogopesha
 
Ndio Futuhi
 
Mkuu wewe ni expert wa magonjwa ya Kisukari?
 
Umenikumbusha, kuna siku niliona ma Ostadh wananyang'anyana ubwabawa kwenye sherehe ya Maulid...haha
 
Hivi ukizingatia kula kama anavyoshauri Dokta Janabi ndiyo utaishi milele hapa Duniani?

Yaani Duniani tuteseka na Mbinguni pia tukateseke

Nashauri kama ukipata Kula sana, ukikosa kunywa Maji ulale
 
Wanalazimisha kunywa maji
Mimi sinywi kabisa ila nadunda
Kila mwili una mpangilio wake
Sukari kwa sana chumvi lazima 😄
Ukienda Muhimbili ukipimwa,ukute unakimbizwa ICU.
Ulishasikia mtu kaanguka kafa ghafla?
Tufuate ushauri wa madaktari,fusil ate tamaa.
Baadhi yetu tunaenda hospitalini tukiwa hatua za mwisho kabisa,mtu anajiona yupo njema,kumbe ndani alishaisha.
 
Nakula ninaposikia njaa. Pia ulaji unategemeana na shughuli yako.


Naweza amka siku nzima nikala mlo mmoja tu. Sijisikii siku hiyo. Naweza siku nikala miwili pia siku nikala mitatu hadi minne.

Ila mara nyingi usiku navusha.

Nakula hasubuhi na jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…