Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Mimi kuna siku nilisema nifuate huo ushauri wa kula matunda usiku nikanunua matunda mengi ya wiki nzima. Cha kushangaza niliyamaliza siku hiyohiyo niliyonunua. Nikaachana na huo mpango.
Hahahaaa...
Yaani bando la wiki unajiunga kwa siku
 
Hayo mambo ukiwa nazo
Kuna siku nilipigika ilibidi ntoke nitembee mitaa ya mbali kidgo nkakuta hitima sijui ya nani nka muita dogo mmoj akaniambia kikubwa ni kuwa around ila msosi n mwingi.

Nilikuwa msos wa kutosha siku hyo Nkashushiq na maji kama litre moja nkasema hayo masaa malizieni wengne me nkarudi gheto nikaanza kulala mana kwangu giza lilikuwa lina anza wengne ni saa 9 alasiri.
 
Ana nidhamu ya kula. Ishu ya kulakula inategemeana na uwezo wa mtu kupata chakula.

Huwezi kupanga masaa ya kula kama huna uhakika wa kula utakulakula chochote kinacholiwa ukikutana nacho.

Wengine hufakamia vyakula kwa kuwa wamevipata kama bahati na hawana uhakika wa kuvipata tena kwa hiyo wanavibugia.

Unakuta mtu hana utaratibu wa kula kwa kuwa bajeti murua ya chakula hana. Wengine wana uwezo wa kupata chakula aina zote ila nidhamu ya kula hawana
Mbona afya yake ina shida? Unamwona tu jinsi sura ilivyokaukiana!
 
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.

Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.

Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Hata ale mara 2! Bado mwisho wa siku kifo kiko pale pale. Au anafikiri watu wanakufa kwa sababu ya magonjwa na kwa kula tu hovyo! Hata ajali pia zinaua.
 
Yuko sawa kama hufanyi kazi ngumu hutoki jasho muda mwingi upo kwenye AC inatakiwa uwe na nidhamu ya kula haswa laa sivyo unageuka sanamu la michelin

Ila kama unapiga hizi kazi zetu ngumu kula milo mitatu vizuri usije kuanguka na karai la zege
 
Mimi kuna siku nilisema nifuate huo ushauri wa kula matunda usiku nikanunua matunda mengi ya wiki nzima. Cha kushangaza niliyamaliza siku hiyohiyo niliyonunua. Nikaachana na huo mpango.
Zoesha mwili kidogo kidogo. Nakula mara mbili Kwa siku. Mfano leo mchana nimekula ugali kidogo mboga ya majani, dagaa na embe jioni nakula mayai mawili na kachumbali. Hapa ambacho hakitakiwi ni ugali na kidogo embe. Matunda mazuri ni tango, parachichi na nazi. Sinywi chai yenye sukari vitu vya ngano na wali. Ndizi mbichi za kupika ni nzuri Kwani zina 'resistance starch'. Sio lazima uwe daktari wewe Google tu kila kitu unapata. Dr HASEMI uongo .
 
Kwahiyo aliita waandishi wa Habari ili kuwaambia watanzania kuwa anakula Mara 2 kwa siku sio?
 
Hivi sukari si ni miwa ile pure???
WHY IS SUGAR BAD AND NOT SUGARCANE?
Sugar comes from a natural source sugarcane, how come it's bad for your health?

The short answer is that table sugar, whether it comes from sugar cane or sugar beets, is a highly processed food, where all the natural fiber and antioxidant compounds have been removed..
16 Sept 2018
 
Zoesha mwili kidogo kidogo. Nakula mara mbili Kwa siku. Mfano leo mchana nimekula ugali kidogo mboga ya majani, dagaa na embe jioni nakula mayai mawili na kachumbali. Hapa ambacho hakitakiwi ni ugali na kidogo embe. Matunda mazuri ni tango, parachichi na nazi. Sinywi chai yenye sukari vitu vya ngano na wali. Ndizi mbichi za kupika ni nzuri Kwani zina 'resistance starch'. Sio lazima uwe daktari wewe Google tu kila kitu unapata. Dr HASEMI uongo .
With all due respect siku nyingine usithubutu kunipa huu ushauri au unaofanana na huu.
 
Back
Top Bottom