Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Dahhhhh....Huyu ni wewe au nimekufananisha kaka mkubwa😁😁
Kuna mtoto alikua anachezea sim, na siwekagi password mkuu...😥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahhhhh....Huyu ni wewe au nimekufananisha kaka mkubwa😁😁
HahahaaaAna ujinga flani hivi ila anaufichia kwenye cheo chake.
Aseee hi picha ya kupiga kabisaa. Ndugu poleni sana.Siku ukipata type 2 diabetes utajua hujui. View attachment 2910581
Kama unacho hicho kitabu ktk pdf naomba share hapa tupate maarifaSiku ukipata type 2 diabetes utajua hujui. View attachment 2910581
Hahahaaa...Mimi kuna siku nilisema nifuate huo ushauri wa kula matunda usiku nikanunua matunda mengi ya wiki nzima. Cha kushangaza niliyamaliza siku hiyohiyo niliyonunua. Nikaachana na huo mpango.
Haongelei shamba kama shambaUna fikra za kijima sana, unawaza jembe la mkono la kumaskini. Kilimo siyo mabavu ule ujima.
Mbona afya yake ina shida? Unamwona tu jinsi sura ilivyokaukiana!Ana nidhamu ya kula. Ishu ya kulakula inategemeana na uwezo wa mtu kupata chakula.
Huwezi kupanga masaa ya kula kama huna uhakika wa kula utakulakula chochote kinacholiwa ukikutana nacho.
Wengine hufakamia vyakula kwa kuwa wamevipata kama bahati na hawana uhakika wa kuvipata tena kwa hiyo wanavibugia.
Unakuta mtu hana utaratibu wa kula kwa kuwa bajeti murua ya chakula hana. Wengine wana uwezo wa kupata chakula aina zote ila nidhamu ya kula hawana
Hata ale mara 2! Bado mwisho wa siku kifo kiko pale pale. Au anafikiri watu wanakufa kwa sababu ya magonjwa na kwa kula tu hovyo! Hata ajali pia zinaua.
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Mbona anaonekana amekonda sana?Daaa jamaa anafanya sanaa mazoezi....
Ni kweli anaongea ongea sana mpaka watu wameanza kumpuuzia.kashachoka sasa anatafuta teuzi namuona anaongea ongea sana
Mti mkavu hauchimbwi dawa mkuuMbona anaonekana amekonda sana?
Zoesha mwili kidogo kidogo. Nakula mara mbili Kwa siku. Mfano leo mchana nimekula ugali kidogo mboga ya majani, dagaa na embe jioni nakula mayai mawili na kachumbali. Hapa ambacho hakitakiwi ni ugali na kidogo embe. Matunda mazuri ni tango, parachichi na nazi. Sinywi chai yenye sukari vitu vya ngano na wali. Ndizi mbichi za kupika ni nzuri Kwani zina 'resistance starch'. Sio lazima uwe daktari wewe Google tu kila kitu unapata. Dr HASEMI uongo .Mimi kuna siku nilisema nifuate huo ushauri wa kula matunda usiku nikanunua matunda mengi ya wiki nzima. Cha kushangaza niliyamaliza siku hiyohiyo niliyonunua. Nikaachana na huo mpango.
Hivi sukari si ni miwa ile pure???miwa
WHY IS SUGAR BAD AND NOT SUGARCANE?Hivi sukari si ni miwa ile pure???
With all due respect siku nyingine usithubutu kunipa huu ushauri au unaofanana na huu.Zoesha mwili kidogo kidogo. Nakula mara mbili Kwa siku. Mfano leo mchana nimekula ugali kidogo mboga ya majani, dagaa na embe jioni nakula mayai mawili na kachumbali. Hapa ambacho hakitakiwi ni ugali na kidogo embe. Matunda mazuri ni tango, parachichi na nazi. Sinywi chai yenye sukari vitu vya ngano na wali. Ndizi mbichi za kupika ni nzuri Kwani zina 'resistance starch'. Sio lazima uwe daktari wewe Google tu kila kitu unapata. Dr HASEMI uongo .