Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Haya mabaya mengine tunajitakia wenyewe,kwa nini tusilipe madeni ya watu kulingana na makubaliano yaliyoafikiwa tuachane na usumbufu usio wa lazima?

Hivi unajua madeni ambayo yanatuletea shida Tanzania yana umri gani?
 
Stuxnet, Kwa kutambua kuwa Prof. Kabuni ni mbobezi na nguli katika sheria, kwanini aogope kushindana na wanasheria wenza katika ulingo wa kimahakama.

Acheni sheria ichukue mkondo wake na hii ndio maana ya kuajiri Wanasheria serikalini ili walinde maslahi mapana ya serikali na nchi kwa Ujumla.
 
Nchi za Africa kufanikiwa kiuchumi ni kwa mbinde sana, wazungu wanatumia jitihada nyingi kuturudisha nyuma
Si kweli umasikini wa Africa chanzo ni watawala mbona wakoloni walituletea maendeleo kwa mazingira hayahaya sie kimetushinda nn, tuliopata nao uhuru sawa mbona wao wameendelea,mwafrika akishindwa kuendelea usingizia Mzungu.
 
Hapa lazima alipwe maana hakuna pa kujificha ooo tuliwapa ANC kambi za wapigania uhuru.

Hapa ni kulipa deni na hatuna njia yoyote ya kuwatishia hawa mabeberu
 
Andamaneni mwende ubalozi wa Canada mkafanye fujo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale Jkt watawanyoosha Ingawa ni wabongo wenzangu
Maana pale upande ubalozi wa Norway upande Ireland Sweden kule ujerumani na EU pembeni misri opposite jeshi
Sasa maandamano yatakuwa alert vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…