Mimtamu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 368
- 105
assadsyria3,
Haya haya wale wa maandamano amkeni wamezingua tena Canada
Haya haya wale wa maandamano amkeni wamezingua tena Canada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni hisia tu na huna uhakika wala ushahidi wa lolote??South Africa ni Africa Tabia zao ni za kiafrika kama ulikuwa hujui, hakuna uongo hapo
Dawa yao huwa ni kuwalipa tu unaachana naehuyo mtu ni king'ang'anizi yyani kashindwa kesi mara mbili zote haoni aibu
dawa ya watu kama hawa ndogo tu
Haya mabaya mengine tunajitakia wenyewe,kwa nini tusilipe madeni ya watu kulingana na makubaliano yaliyoafikiwa tuachane na usumbufu usio wa lazima?
Unasemaje kila kizingiti kishughulikiwe kwa njia mbadala![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Si kweli umasikini wa Africa chanzo ni watawala mbona wakoloni walituletea maendeleo kwa mazingira hayahaya sie kimetushinda nn, tuliopata nao uhuru sawa mbona wao wameendelea,mwafrika akishindwa kuendelea usingizia Mzungu.Nchi za Africa kufanikiwa kiuchumi ni kwa mbinde sana, wazungu wanatumia jitihada nyingi kuturudisha nyuma
Sina hakika kama anajua hata chanzo na Historia ya mgogoro huo.Hivi unajua madeni ambayo yanatuletea shida Tanzania yana umri gani?
Kwa nini Kabudi anapenda kumdanganya Rais kila apatapo nafasi? Hivi kesi ya Mkulima tulishinda wakati deni lilikuwa palepale?
Kule ni taratibu zilikosewa na watu hata humu JF walionya sana kuwa tunafunika moto kwa kuufunika kwa jivu. Wanasiasa nao walionya wakaitwa mabeberu Jr, wakanyamaza. Serikali ikaanza matambo kama ya kijiweni eti ilipeleka PhD ngapi sijui, wakapongezana hadi Bungeni na magazeti yao yote.
Tunasema tena, tumejikita kupeleka mambo yetu kishamba sana na sifa za kijinga lakini yakiharibika tunataka RAIA wote eti wasikitike na hilo batch la watu wa hovyo. Hapana, ujinga huo ni wenu wenyewe na sasa sijui kama mkulima hata lipwa tena.
Canada hawapokei Rushwa kama South Africa
Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu
Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Andamaneni mwende ubalozi wa Canada mkafanye fujo.