minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Rushwa ilitembezwa South Africa ndipo Ndege ikaachiwa lakini canada hakuna RushwaBavicha walisema yule jamaa alilipwa kimyakimya ndio maana ndege ikaachiwa kule south africa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rushwa ilitembezwa South Africa ndipo Ndege ikaachiwa lakini canada hakuna RushwaBavicha walisema yule jamaa alilipwa kimyakimya ndio maana ndege ikaachiwa kule south africa!
ndio kinachofuataAndamaneni mwende ubalozi wa Canada mkafanye fujo.
Ubabe ubabe wake unaigharimu NchiNgoja huko Canada si ndio kule kwa akina barick na acacia ?
Hawa tushaelewana nao? Waongee na ndugu zao ,ndege irudi
Na wengine wengii Sana, hata wa lumumbaFuraha kwa zito..
... hahahaha juzi kasema tusimpangie mkulima ukiona mahindi bei juu lima yako ya bei ndogo...uyu mkulima wa ndege tusimpangie namna ya kudai 😂😂Mimi kama mkulima namsapoti mkulima mwenzangu
Ukiwa bushman lzm uchezeweHawa mabeberu wanatuchezea sasa!
Aisee! Wametuzoea sasa!Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani
Mtawanyoosha wapi wakati tayari mmekalia "MIDLE FINGER"?. Hata Mugabe alikuwa hivyo na sifa za kijinga ila sasa Wazimbabwe wote hasa wale waliokuwa wanamsifia wanaugulia maumivu ya midle finger...Mabeberu kwisha Habari yao
Tutawanyoonsha
Hizi mada zingine ziko juu ya uwezo wako wa kuelewa bora ukae kimya. Kwani umeambiwa ni Serikali ya Canada ndiyo imeishikilia hiyo ndege,au unafikiri majaji wao wanapokea maagizo toka mhimili uliojichimbia?Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu
Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Naunga mkono Hoja yako kwa 100% mwaka 2026 akiingia Rais mpya lazima Doto, Daud Bashite na wenzao watakwenda segerea keko UkongaNapenda kuwaambia hawa mazulumati haki za watu hazipotei tawala upita lkn taifa halipiti udumu milele.Awamu zijazo zitakuja kulipa madeni yote yaliyosababishwa na awamu ya hasara.Watu wametunza vielelezo wote waliobomolewa nyumba zao,fukuzwa kazi,bambikwa uhujumu uchumi,taifishiwa mali zao,wariporwa hela na mali zao,nk hawa wanasubiri ipite awamu hii ya kibabe itaingia ya waungwana hapo ndipo serikali itakoburuzwa Sana mahakamani watu wakidai haki zao.Tunaliona awamu zijazo zitapata tabu sana kulipa madeni.Kama ambavo mkulima anapigania haki yake
Ubalozi haufungwi kirahisi hivyo kama kupiga chafya mzee.Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Jibu lililoshibaHiyo habari za ada zinakuhusu wewe usiye na uhakika wa kipato
Mkuu kuna mtu humu kawahi kukuomba ada ya January, muhusika katupasha tu habari sisi walipa kodi.Hizo Habari ndio mnazipenda badala ya kushughulika na Ada na kodi za January