Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Yeah Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili December imekamatwa Canada na mabeberu wa bondeni walifungua kesi hamkwenda wakapata ushindi wa mezani kama waliopata maccm huko serikali za mitaa
 
Napenda kuwaambia hawa mazulumati haki za watu hazipotei tawala upita lkn taifa halipiti udumu milele.Awamu zijazo zitakuja kulipa madeni yote yaliyosababishwa na awamu ya hasara.Watu wametunza vielelezo wote waliobomolewa nyumba zao,fukuzwa kazi,bambikwa uhujumu uchumi,taifishiwa mali zao,wariporwa hela na mali zao,nk hawa wanasubiri ipite awamu hii ya kibabe itaingia ya waungwana hapo ndipo serikali itakoburuzwa Sana mahakamani watu wakidai haki zao.Tunaliona awamu zijazo zitapata tabu sana kulipa madeni.Kama ambavo mkulima anapigania haki yake
 
Ndege ya Air Tanzania yakamatwa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amesema ndege aina ya Bombardier Q400 imekamatwa.

Ndege hiyo iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa na kesi ipo mahakamani.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani
Aisee! Wametuzoea sasa!
 
Chadema badala ya kushiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa, wanashangilia mambo kama haya.
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu

Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Hizi mada zingine ziko juu ya uwezo wako wa kuelewa bora ukae kimya. Kwani umeambiwa ni Serikali ya Canada ndiyo imeishikilia hiyo ndege,au unafikiri majaji wao wanapokea maagizo toka mhimili uliojichimbia?
 
Napenda kuwaambia hawa mazulumati haki za watu hazipotei tawala upita lkn taifa halipiti udumu milele.Awamu zijazo zitakuja kulipa madeni yote yaliyosababishwa na awamu ya hasara.Watu wametunza vielelezo wote waliobomolewa nyumba zao,fukuzwa kazi,bambikwa uhujumu uchumi,taifishiwa mali zao,wariporwa hela na mali zao,nk hawa wanasubiri ipite awamu hii ya kibabe itaingia ya waungwana hapo ndipo serikali itakoburuzwa Sana mahakamani watu wakidai haki zao.Tunaliona awamu zijazo zitapata tabu sana kulipa madeni.Kama ambavo mkulima anapigania haki yake
Naunga mkono Hoja yako kwa 100% mwaka 2026 akiingia Rais mpya lazima Doto, Daud Bashite na wenzao watakwenda segerea keko Ukonga
 
Back
Top Bottom