Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku akafurushwa na kupelekwa ofisi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Yaani ameondolewa kwenye nafasi hata hajaingia ofisini.

Kwahiyo Prof. Kennedy ndiye Katibu Mkuu ambaye amedumu kwa kipindi kifupi sana maana ametenguliwa kabla hata hajaingia ofisini. Wizara ya mambo ya nje inaingia kwenye historia ya kuwa na Katibu Mkuu ambaye haijui ofisi. Kwa kuwa tayari alishaapa, jina lake litakuwepo kwenye orodha ya Makatibu wakuu wa wizara. Lakini "tenure" yake itakua siku moja, maana aliapishwa September 1 na kufurushwa September 3 bila kuingia ofisini.

Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapuga ramli. Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko. Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri. Iache kufanya betting. Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!

Malisa JG
Halafu wenye Akili tukimdharau Mtu kuwa hafai na ana Mapungufu makubwa na Idara ya Oysterbay ina Bogus Staff wengi wasiokuwa na Faida mnatuchukia akina GENTAMYCINE hadi kutukalia Vikao vya Kutuvizia na Nondo na Vitofa Usiku ili Kutunyamazisha.
 
Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku akafurushwa na kupelekwa ofisi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Yaani ameondolewa kwenye nafasi hata hajaingia ofisini.

Kwahiyo Prof. Kennedy ndiye Katibu Mkuu ambaye amedumu kwa kipindi kifupi sana maana ametenguliwa kabla hata hajaingia ofisini. Wizara ya mambo ya nje inaingia kwenye historia ya kuwa na Katibu Mkuu ambaye haijui ofisi. Kwa kuwa tayari alishaapa, jina lake litakuwepo kwenye orodha ya Makatibu wakuu wa wizara. Lakini "tenure" yake itakua siku moja, maana aliapishwa September 1 na kufurushwa September 3 bila kuingia ofisini.

Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapuga ramli. Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko. Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri. Iache kufanya betting. Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!

Malisa JG
Umejuaje aliporudi kutoka Zanzibar kuapishwa hakuingia ofisini ????
 
Inawezekana pia kwamba walipanga tu kumdhalilisha ili wakamilishe mambo yao
 
Rekodi ya mtu aliyekaa muda mfupi sana baada ya kuapishwa bado inashikiliwa na yule aliyeteuliwa Naibu Waziri akashindwa kuapa.
Kiapo ndio confirmation ya nafasi; hujaapa bado hujakabidhiwa cheo. Aliyeshindwa kuapa hakuwahi kuwa kwenye hiko cheo.
 
mkuu umenikumbusha ile ya mkurugenzi wa tpdc kateuliwa usiku akaenda kulala kwa furaha anaamka asubuhi ametumbuliwa..
 
MIMI HUWA NILIACHA KUFUATILIA HAYA MAMBO.

Hawa watu hawana Msaada Wowote, hawana Tija yoyote kwa Tanzania.
 
Rekodi ya mtu aliyekaa muda mfupi sana baada ya kuapishwa bado inashikiliwa na yule aliyeteuliwa Naibu Waziri akashindwa kuapa.
Kwakua hakuapa hakuwa waziri,ni mpaka angeapa,huyu Gaston aliapa,ukiapa tayari nafasi ni yako kamili
 
Ni picha halisi kwanini hata mambo mengi yako hovyo hovyo.
 
Hili andiko sio langu lakini nimelipenda....

Juzi Mhe.Rais @samia_suluhu_hassan alimteua Prof.Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar.1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa. Lakini jana usiku akafurushwa na kupelekwa ofisi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Yani ameondolewa kwenye nafasi hata hajaingia ofisini.

Kwahiyo Prof.Kennedy ndiye Katibu Mkuu ambaye amedumu kwa kipindi kifupi sana maana ametenguliwa kabla hata hajaingia ofisini. Wizara ya mambo ya nje inaingia kwenye historia ya kuwa na Katibu Mkuu ambaye haijui ofisi. Kwa kuwa tayari alishaapa, jina lake litakuwepo kwenye orodha ya Makatibu wakuu wa wizara. Lakini "tenure" yake itakua siku moja, maana aliapishwa September 1 na kufurushwa September 3 bila kuingia ofisini.

Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapiga ramli. Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko. Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri. Iache kufanya betting. Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!
 
Mods unganisha Kuna Uzi kama huu,mtoa Uzi anatafuta kiki.za kijinga
 
Back
Top Bottom