Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

Kwahiyo Wewe Pimbi na Boya umeona ukianzusha Uzi wako kwa hii Biashara yako hautasomwa na ukaona upate Lifti ya GENTAMYCINE kupitia huu Uzi wake kwakuwa ni maarufu, anakubalika na anasomwa sana hapa JamiiForums ili Usomwe na Watu ( Members ) wengi?

Asante Mungu kwa hii Nyota yangu Kali.
 
Mleta uzi hebu jaribu kutafuta taarifa zinazohusu TISS hata kwa juu juu tu. Sio unaandika habari kama upo kwenye jukwaa la Utani, burudani na Vichekesho. Muda mwingine jaribu kutuliza akili yako na upost vitu vyenye tija.
Pumbavu.

ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
GENTAMYCINE NI TAASISI SIO MTU. MODS PINGENI HILI GENTAMYCINE NI IDARA TIMILIFU KUANZIA MICHEZO MPAKA NDANI YA SERIKALI NA NI IDARA MAALUMU.
 
A) Rais Samia hawasikilizi TISS

B) TISS wanampuuza na hawamsaidii Rais Samia

C) Rais Samia na TISS hawaaminiani Kitaarifa

D) TISS wanamchomesha makusudi kwa Majina anayoyateua ili akikosea Wananchi wamuone Rais Samia hana Uwezo

Chagua tu herufi iliyo sahihi na Jibu.
Cc LIKUD
 
GENTAMYCINE bila kuvunja sheria za jamiiforum njoo inbox na mods wafanye engineering ili maudhui binafsi yasitoke nje milele Kati yangu na wewe.
 
A) Rais Samia hawasikilizi TISS

B) TISS wanampuuza na hawamsaidii Rais Samia

C) Rais Samia na TISS hawaaminiani Kitaarifa

D) TISS wanamchomesha makusudi kwa Majina anayoyateua ili akikosea Wananchi wamuone Rais Samia hana Uwezo

Chagua tu herufi iliyo sahihi na Jibu.
Mkuu hivi unafikiri kila kitu hapa Tanzania ni kazi ya taasisi

Rais akiamua kumteua mtoto wake awe mkuu wa mkoa kuna kosa gani au mpaka asubiri hao TISS

Rais ni binadamu kama wewe ana makosa na mapungufu yake,Kwa hiyo Rais aache ndugu zake wateseke asiwape kazi na dili za maana kukufurahisha wewe?

Hata wewe ungekuwa kiongozi ungemtafutia mwanao kazi nzuri kwenye taasisi nzuri,Hakuna anayepanda familia yake iteseke

Acha Rais Samia awateue marafiki zake na ndugu zake kwani wakati hajawa Rais walishiriki naye maisha ya kila siku

Rais ana marafiki na ana ndugu na majirani kama wewe wanahitaji uteuzi

Wewe fanya kazi zako na tafuta connection basi

Mseveni mke na mtoto kawapa vyeo huko uganda

Rais Samia ana wajukuu pia,Anatengeneza mazingira baadae wajukuu zake wapate teuzi pia

Huoni Ridhwan kikwete ameteuliwa kwa kuwa kikwete alimkumbuka Samia
 
GENTAMYCINE NI TAASISI SIO MTU. MODS PINGENI HILI GENTAMYCINE NI IDARA TIMILIFU KUANZIA MICHEZO MPAKA NDANI YA SERIKALI NA NI IDARA MAALUMU.
Jipende na jiamini mwenyewe kwanza. Halafu hizo habari za TISS mbona Evarist Chachali ameandika sana
 
Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku akafurushwa na kupelekwa ofisi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Yaani ameondolewa kwenye nafasi hata hajaingia ofisini.

Kwahiyo Prof. Kennedy ndiye Katibu Mkuu ambaye amedumu kwa kipindi kifupi sana maana ametenguliwa kabla hata hajaingia ofisini. Wizara ya mambo ya nje inaingia kwenye historia ya kuwa na Katibu Mkuu ambaye haijui ofisi. Kwa kuwa tayari alishaapa, jina lake litakuwepo kwenye orodha ya Makatibu wakuu wa wizara. Lakini "tenure" yake itakua siku moja, maana aliapishwa September 1 na kufurushwa September 3 bila kuingia ofisini.

Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapuga ramli. Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko. Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri. Iache kufanya betting. Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!


Malisa JG
Kioara anapanga safu.

Kumbuka beans zikivypinjikwa jikoni. Nani alizipeleka huko?
 
Huyu maza uwezo mdogo sana. Tangu lini mtu wa masijala akaweza Uongozi mkubwa?
 
Back
Top Bottom