Kikubwa maswala ya uchumi na kuondoa umaskini basi hayo ndo ya msingi kwa mtanzania sio blah blah katibaHawa Chadema agenda yao imegundulika.
Mama anahangaika na namna ya kuwaletea Watanzania maendeleo sio huu upuuzi.
Hali za watu ziwe vizuri kisha ndio wanasiasa wapewe sinia la nyama😂😂😂 sasa nyie wapeni ulaji halafu ndio mtaelewa kazi! Watapiga hela hadi wafie MadarakaniUko sahihi hyo katiba ni nani anaitaka kabla umaskini haujaondolewa wanasiasa wanakuja na agenda zisizogusa Raia Moja kwa moja.
Machadema yataanza kumchukia Shivji ingawa yalikuwa yanamsifia kabla, ha ha ha. Haya majitu hayajielewi.
Machadema yataanza kumchukia Shivji ingawa yalikuwa yanamsifia kabla, ha ha ha. Haya majitu hayajielewi.
Huyu mzee sasa kachoka hana jipya tena ni kigeugeu kwa ajili ya njaa zake, akae nyumbani kulea wajukuuMsomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania kwa sasa.
Prof Shivji amesema wanasiasa wanapenda madaraka na siyo siasa safi na kuwatumikia wananchi, ametolea mfano kwa vita ya madaraka inayoendelea nchini Kenya na Afrika Kusini licha ya kubadili katiba mara kwa mara.View attachment 1838690
Muhimu
Ije kwanza halafu tuone maana hii ya sasa CCM wameifanya ni ya Chama chao.Kwamba ikivunjwa itaandamana kuzuia wizi wa kura ?
TUNAWEZA kupata TUME HURU bila kusumbuka na mchakato mrefu wa Katiba MpyaKatiba Mpya itatupa Tume HURU ya Uchaguzi japokuwa sio Mwarobaini wa matatizo yetu ila itayapunguza kwa kiasi kikibwa.
TUNAWEZA kupata TUME HURU bila kusumbuka na mchakato mrefu wa Katiba Mpya
UmenenaFinally, someone has spoken the reality.
Ni kweli kuwa na katiba bora ni jambo la muhimu lakini maendeleo na mabadiliko ya kweli yanahitaji zaidi ya katiba.
Kama wanasiasa wataacha unafiki na kuamua kulitumikia taifa na si matumbo yao, kuwatumikia wananchi na si maslahi ya familia zao, marafiki zao na washirika wao basi hatutaona uroho na ulafi wa madaraka, hatutaona sheria za ajabu ajabu zikitungwa, hatutaona watu wakiwa busy kutafuta loop holes ili kupiga dili. Maana kama mtu anaweza kushawishi watu wakabadili katiba ya chama ili iendane na matakwa yake au malengo yake ni kujidanganya kudhani mtu huyo huyo akipewa dhamana ya kuongoza Taifa hata kama kuna katiba nzuri vipi hatajaribu kubadilisha baadha ya maeneo ili kuhakikisha maslahi yao yanalindwa hili tunalishuhudia kenya sasa.
Kwa ninavyojua katiba mpya italazizimisha tume huru ambayo italazimisha watawala waheshimu watakwa ya watu.Tume huru ni nini na inatatuaje matatizo ya watanzania?
Muhimu watawala waheshimu matakwa ya watu.
Chanzo ni Jamvi la Habari!!!???Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania kwa sasa.
Prof Shivji amesema wanasiasa wanapenda madaraka na siyo siasa safi na kuwatumikia wananchi, ametolea mfano kwa vita ya madaraka inayoendelea nchini Kenya na Afrika Kusini licha ya kubadili katiba mara kwa mara.View attachment 1838690
Hao ni misukule tu mkuu. Hawana akili, yani akili zao wameshikiwa kwahiyo hata ku tafakari masuala basic kama haya hawana uwezo. Yani ni ni lightweights watupu, vichwa empty kabisa.Wapumbavu Sana ,Iq zero , imagine mpumbavu kama huyo eti anakuambia katiba ina umuhimu gani katika kutafuta changamoto za kiuchumi na uongozi , jitu kama hilo unadhani lina akili ?
Kuwaletea watanzania maendeleo kutoka wapi?Hawa Chadema agenda yao imegundulika.
Mama anahangaika na namna ya kuwaletea Watanzania maendeleo sio huu upuuzi.