Hahahaa hata Mwl nyerere hakumuona huyo?
Uwekezaji - investment ni sehemu ya uchumi na kumbuka ni CAG mstaafu hivyo yote hayo ni uga wake wa kujidai.Huyu ni mtaalamu wa finance mambo ya sheria amwachie Prof Issa Shivji.
Ya nn? Waliokuwa wanapinga serikali waliondolewa kwa zengwe, huyu alikuwa ni uma puliza tu hamna kituUnajua kwanini shivji hajawahi kupewa nafasi yeyote serikalini ya uongozi tangu baba wa taifa mpaka anastaafu utawala wa kikwete alikua mwalimu tu?
Unalazimisha hoja kwa kunitukana? Mwanzo wa kufeli hukuSikulazimishi kitu wewe mbwiga, nimekuuliza swali lijibu badala ya kuweweseka.
Kwani Assad ni Mchumi?Hivi unaweza kuwa mchumi wa kiwango cha Assad usielewe sheria za uchumi?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
*Hivi IGA imesainiwa kati ya Tanzania na DP World au Tanzania na Dubai?
*Kama na Dubai ni yapi majukumu ya Dubai yaliyobainishwa katika IGA? na kama ni DP World ni kwanini tulisaini IGA na Kampuni?
*Prof anasema ni vyema mara baada ya hawa DP World ni vizur akatafutwa mwekezaji mwingine akapewa eneo nyingine! Je! Prof anajua kuwa Mkataba unahusu Bandari za Bahari na Maziwa nchini Tanzania?
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu...
Unataka na proposal ya mwekezaji ya kile atafanya iwekwe kwenye hii IGA? Sasa TPA itakuwa ya nini kama Kila kitu kitaishia IGA? Tunajitia stress zisizo na mbona wakuu.Unajua kila anayetoa maoni anao upande aliochagua, kwa hiyo kila anayeunga mkono au kupinga inategemea amesimama katika upande upi, lakini katika yote hatuna sababu ya msingi ya kubinafsisha Bandari yetu kwa mkataba mbovu kiasi kile, kama uwekezaji bandarini umefanyika kwa kiasi kikubwa sana, tunapaswa kujua muwekezaji anakuja na nini cha ajabu, sio kupewa bure kabisa.
Usije kuta ni chombo cha ccm na wamemualika mwenye itikadi na imani kama yao alafu wewe unatuletea ngonjela hapa😵Unaleta uchama tena
Usinichoshe. kosa au sii kosa, hapa sio mahakamani. Kila mmoja abaki na namna yake ya kuelewa hata profesa anaweza akawa na uelewa mdogo vilevile kama yule prof wa madini ambaye hakuamka vizuriSasa ukiambiwa una uelewa mdogo kwani ni kosa?
Hahaaha. Unayo list ya wahadhiri walioteuliwa nafasi za uongozi tangu enzi ya baba wa taifa mpaka leo?..Katika ma-cj na ma-ag wote kabla ya magufuli hakuna hata mmoja aliyeteuliwa toka miongoni mwa wahadhiri wa udsm.
..sidhani kama hiyo inamaanisha kwamba wahadhiri waliokuwa kitivo cha sheria hawajui sheria au ni wabovu kitaaluma.
Hahaaha. Unayo list ya wahadhiri walioteuliwa nafasi za uongozi tangu enzi ya baba wa taifa mpaka leo?
SUnalazimisha hoja kwa kunitukana? Mwanzo wa kufeli huku
Tofauti ya Tibaijuka na Assad ni wazi kabisa ; Tibaijuka hoja zake amezielekeza kwenye contentious terms of the contract, Assad anaelezea faida zitakazopatikana kutokana na uwekezaji vitu ambavyo hakuna mtu anabishia!Tibaijuka anaongelea ya fani yake?
Contentious terms of the contract Prof Tibaijuka hawezi kuzifasiri maana siyo taaluma yake, ndo maana unaona ameishia kuvurunda tu, amefasiri kwa Uelewa wake wa Kiingereza na amepotosha meeengi tuS
Tofauti ya Tibaijuka na Assad ni wazi kabisa ; Tibaijuka hoja zake amezielekeza kwenye contentious terms of the contract, Assad anaelezea faida zitakazopatikana kutokana na uwekezaji vitu ambavyo hakuna mtu anabishia!
Kwani kuna nini cha ajabu? Ambacho wananchi hawapaswi kujua?Unataka na proposal ya mwekezaji ya kile atafanya iwekwe kwenye hii IGA? Sasa TPA itakuwa ya nini kama Kila kitu kitaishia IGA? Tunajitia stress zisizo na mbona wakuu.
Kama mtu ulimkubali kwa kujenga hoja nzuri, siku akipotoka unatakiwa kuendelea kukubali tu?Sasa makamanda uchwara akina Erythrocyte wataanza kumchukia huyu jamaa[emoji1787]