Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Uraia wa Asad ni upi? Wauza Bandari ni kina nani?
Nyinyi ndio wale Assad aliosema ni mbumbu mbumbu mnaburuzwa na kundi la kina Tundulisu, hoja zimetandikwa wewe kama ni kidume pindua
 
nyinyi ndio wale madebe matupu., hoja zimewekwa very clear wewe kama kidume pindua, hao ndio wachumi sio kina Tundulisu muliezoeshwa eti mwanasheria kila mtu husimama kwa nafasi yake, si kila mtu anaweza kutoa mawazo kwa lazima kwa jambo asilolifahamu, huyo jamaa ni mchumi balaa
 
Basi itabidi Kila mtanzania aende kuhudumia kwa siku pake ikulu km rais kwani Kuna nini cha ajabu
Kwa akili yako ndogo huoni kama mikataba ni kwa maslahi ya nchi na wananchi wake? Kwani mkataba kuwekwa kwenye mtandao ni dhambi? Mbona nchi za wenzetu wanaweka? Nini ambacho wao wanacho na sisi hatuna?
 
Kwa akili yako ndogo huoni kama mikataba ni kwa maslahi ya nchi na wananchi wake? Kwani mkataba kuwekwa kwenye mtandao ni dhambi? Mbona nchi za wenzetu wanaweka? Nini ambacho wao wanacho na sisi hatuna?
Kwa akili yako watanzania wanaweza kuelewa mikataba ya kitaalamu? Unalinganisha uelewa wa watanzania na nchi zilizoendelea ambazo asilimia tisini ya watu wao wamefika vyuo vikuu? Yaani hawa watanzania ndio wasome mkataba wauelewe Kama si kutaka chaos ni nini? Acha wanasheria tuliowasomesha wafanye kazi kwa niaba yetu mpk pale watu wetu watakapokuwa na uwezo wa kuchambua mambo. Umepata hukumu ya kesi Mbeya? Ujinga mwingi sana nchi hii.
 
So kwa sababu tu hawawezi kuelewa mikata right? So wewe umeelewa si ndio?
Yes, ya Mbeya imeenda kama RA alivyosema, hii hata sisi wengine tumespeculate kuwa Nini kimetokea pale tulipoona kuwa nchi imeamia mbeya obvious matokeo yalishajulikana kabla.
 
Pole sana mkuu DA DON, umekuwa ukitumia nguvu nyingi ku-copy na kupaste hivyo vifungu saba kama kasuku vile kwa takriban miezi miwili humu JF. Leo mmeangukia pua kule Mbeya.
 
So kwa sababu tu hawawezi kuelewa mikata right? So wewe umeelewa si ndio?
Yes, ya Mbeya imeenda kama RA alivyosema, hii hata sisi wengine tumespeculate kuwa Nini kimetokea pale tulipoona kuwa nchi imeamia mbeya obvious matokeo yalishajulikana kabla.
Nilielewa na ndio maana tunawaelemisha Kila siku mnakaza mafuvu kujiona wasomi saana. Mlispeculate mkaenda kuchukua nini mahakamani msiyo na Imani nayo...acheni mihemko tujenge nchi. Nchi hii ni yetu wote watanzania bado tuna safari ndefu tuungane tujikwamue acheni kutumikia mabeberu. Kila kitu mnapinga mnajiona mna akili sana haya umeme wa Nyerere dam ukataeni Sasa.
 
Kijana, Mi najitegemea, jeshi la mtu mmoja, silambi buti la mtu yoyote, tofauti na nyie walamba buti, nakuhakikishia ndani ya miaka mitatu baada ya mangungu wa msowelo kuchukua Bandari utakuwa wa kwanza kulaumu.
RA alishasema Hizi mahakama hazina maamuzi hilo hatuhitaji kulijadili, Mi sio mpinzani kama unavyodhani, ila sio mlamba boot.
Hili sio suala la kujiona au kushindana akili, ni maslahi mapana na mustakabali wa nchi yetu, tutafahamiana uko mbeleni, trust me.
 
Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Ujui kuwa kuna kitu kinaitwa Business Law...ahahahaa wale wahasibu wanajua vzuri
 
Huyu ni mtaalamu wa finance mambo ya sheria amwachie Prof Issa Shivji.
Kuna kitu kinaitwa business Law....sijajua kama wanasheria wanasoma hili soma,ila watu wa uchumi wanalijua vzuri
 
Wenye taaluma Yao ya sheria ndio akina Shivji na wao hawajatofautiana na Tibaijuka hivyo kuwa kavurunda kama alivyovurunda sheikh Assad ni imagination yako tu!!
 
Nadhani amechoka kutotolesha mayai kuke koymta za chuo huenda biashara ishakuwa ngumu kwake, sasa anasifia sifia angalau aonekane.
 
Nawaza hii issue ya Bandari kama Rais angekuwa Magufuli halafu Assad ndio akapewa nafasi kutoa maoni yake sijui yangekuwa hayo hayo au kungekuwa na mabadiliko?
Yale majibu ya asadi ni kama dongo upande wa mamlaka kama hujamuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…