Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Nadhani hujamuelewa Assad vizuri,lakini pia ulitakiwa uje na mashirika yaliyo nunua ndege cush ili ujustify hoja yako
 
Shujaa alisema ZINALETA FAIDA na kumbe ni FIKSI tu, ATCL walitoa hadi gawio la faida kwa Serikali ili kumridhisha Shujaa mpenda sifa.
Inahitaji akili sana kukuelekeza mtu kama wewe. Hivi unajua zile sio mali ya Air Tanzania bali walikuwa wanazikodi kutoka kwenye shirika la ATCL hivo ilikuwa lasima urejeshe faida kwa kila Air Tanzania ilikuwa ikipata then mzunguko unaenda hivo ingawa kiuhalisia faida ilikuwa bado haitengenezwi kwa kuwa mtaji uliowekwa ulikuwa bado haujarudi??? Ww ukiwa na duka lako umewekeza milioni 1, ukiuza bidhaa za shilingi elfu 5 siku ya kwanza, ukipiga mahesabu utasema umepata faida kwa kuwa bidhaa umeziuza kwa faida na si hasara. Lakini kiuhalisia faida haipo kwa kuwa mtaji wako bado haujarudi yaani hela ya uwekezaji. Lakiki kwa kadiri mazingira ya biashara yanavyozidi kuimarika itafika wakati naww utaanza kuongelea faida halisi na kuanza kukuza mtaji. Hivi ndivyo biashara ilivyo.

Sasa kwenye shirika kubwa kama lile lenye ushindani usitegemee ya kuwa faida itakuja haraka haraka hivo. Muda ndo kila kitu. Shirika la Ethiopia Airlines usione limefanikiwa sana ni kutokana na miaka mingi ya kulikuza na kulisimamia... sasa lina zaid ya miaka 75... jifunze kuheshimu mdomo unakulisha
 
We ni KILAZA
 
Tatizo lako unafananisha manunuzi ya mtu binafsi na ya SERIKALI. UKIWEZA KUTOFAUTISHA HAYO MAKUNDI BASI AKILI YAKO ITAANZA KUHAMA KUTOKA MATAKONI KUJA KICHWANI.
Kosa limeshafanyika kuuza ndege zote ndo hasara itaondoka?
 
Kwa umri wake bado anataka aajiriwe. Kichele bado muda wa kustaafu sasa sijui anataka akawe mshauri wa raisi?
 
Kuna watu bhana wamejaa unafiki licha ya biblia,quran na mavazi yao yanayoakisi uchaji wa Mungu wao.

Baada ya kuona camera zinakumulika umeamua kutumia IST ili uonekane ni mtu mwadilifu sana kumbe ni nafiki kubwa lililojaa ujuaji wa kijinga tu na chonganishi!

"Wanaotumia IST wanawake" Ukaona utumie kauli ya mjinga mwenzako ili uonekane mwema kumbe nafiki.

Sasa kama ungekuws mwadilifu kwanini umepokea hela ili uchonganishe watu?

Kama hujaelewa halikuhusu...pita kushoto nenda zako!

Uzi tayari
 
Huyu anempinga Assad ni kitoko tu! Hamna haja ya kuhangaika nae
 
Na bado, makaburi yake yatafukuliwa mpaka mseme po.
Huyu Assad anawaza kimaskini, kwahiyo ukikopa ndo unapunguziwa bei ya ndege. Yaan sijui anafikiria kwa kutumia nini? Tangu lini mkopo ukawa cheap? Magu alikuwa anawajua wanafki kama assad ndo maana hakutaka kufanya nao kazi. Tanzania ilikuwa ni kama pori lenye wanyama wakali kama assad, hawa walipaswa kupotezwa kabisa. Magu kaondoka kaacha projects za kibabe, sasa tuone hao wanaoongoza kwa maneno na siyo vitendo kama watazikamilisha. JPM alichokifanya yuko sahihi asilimia mia, katka uongozi wa nchi zetu za kiafrika output ndio kila kitu, haijarishi umetumia njia zipi kupata tangible thing. JPM ni output siyo maneno maneno yenu.
 
Lini tutegemee hayo madubwasha yenu kupata faida??
 
Kweli kabisa ndugu. Lawama hapa ni namna alivyofanya na sio kile alichokifanya. Siku zote walishazoea kupat 10% lakini ndege zimenunuliwa kwa cash mianya imezibwa... nakwambia yeye amelala ila hii vita atishinda.
 
Hizi thread nyengineni upumbavu tu
 
Kwa taarifa yako kwa wale wa UD wanajua yule jamaa ni mzee wa ma benz tangu ametoka US.Hicho ki IST kama kimekuuma pambana na hali yako.

Tatizo liko kwa yule anayejiita mtetezi wa wanyonge kumbe ni mpigaji konki per se.
 
Lini tutegemee hayo madubwasha yenu kupata faida??
Kuwa mvumilivu... Mfano SGR walisema ni miaka 15 baada ya kukamilika ndo faida itaanza kuonekana. Nadhani inahitaji wataalamu pia kupiga hizo hesabu za AIR TANZANIA kuona na yenyewe itaanza kupata faida baada ya miaka mingapi. Ningejua gharama uwekezaji vs trend ya ukuaji wa soko nngeweza kukuambia hilo kwa hakika kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…