TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

Hii barabara ya chalinze- kibaha ni ndogo Ina magari mengi Sana yaani haimuhitaji dereva azembee hata kidogo ni juzi tu naenda mlandizi barabara ilikuwa Inaonekana nyeupe mbele lakini lilipotokea gari la mkuu wa mkoa likiovetake lorry hata hapajulikani. Nusura tuangukie korongoni. Tulibaki kumshukuru Mungu tu.
 
Inawezekana dereva alisinzia lori ikaacha njia.
Nashauri serikali iongeze mabehewa na Injini mizigo yote isafirishwe na treni njia ya Kati na Tazara njia ya mbeya / zambia / Drc .

Malori yamekuwa na Fujo Sana mabarabarani.
Juzi nimetoka Mbeya aisee hayo matenka ya mafuta niyokutana nayo barabarani in one day ni zaidi ya mia tano!! Nikajiuliza hivi lile Bomba la mafuta la TAZARA na reli ya TAZARA vina kazi gani?? Na hapo ni njia ya Dar to Mbeya only..
 
Well said kiongozi, kuna watu humu wao smartphone hutumia kuingia Instagram kutafuta udaku tuu na mambo ya kipuuzi..
 
Umewaza ujinga sana umefatilia sababu? Semi ilikuwa inakwepa noa ikiwa katika mwendo ndio wimbi likapush contena na kuangakia kwa gari ya prof

Ajari zipo na sio kila a ayepata ajari ni mzembe
Acha ujinga
 
Ahsante kwa ufafanuzi.
 
Unao uhakika kuwa alikuwa akitumia moja ya gari ulizozitaja? Mbona wengi wana madereva kwenye gari binafsi.
 
Unao uhakika kuwa alikuwa akitumia moja ya gari ulizozitaja? Mbona wengi wana madereva kwenye gari binafsi.
 
Juzi nimetoka Mbeya aisee hayo matenka ya mafuta niyokutana nayo barabarani in one day ni zaidi ya mia tano!! Nikajiuliza hivi lile Bomba la mafuta la TAZARA na reli ya TAZARA vina kazi gani?? Na hapo ni njia ya Dar to Mbeya only..
Sasa mmeelewa lengo la Magufuli kujenga reli ya kisasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…