TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

Alale salama Prof. mzalendo wa nchi yake.
Alikataa kufundisha nje, alisema mimi wa hapa hapa nyumbani. Ni mtu mmoja alikua muungwana mno. Hii mitakataka barabarani itatuua sana. Nachelea kusema TZ ni moja ya sehemu hatari sana unapokua barabarani.
 
Prof wa kwetu kabisa home R.I.P msibani nitafika kukusindikiza.
 
Asante Sana GENTAMYCINE
 
Kama wana akili watakusikia.
 
Hizi semi ni hatari kuna siku nzega dereva wa semi alisinzia na kutufata upande wetu mungu mkubwa dereva wetu alichangamka kuingia majarubani
 
Wazee wa ndumba banaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kulikua na haja gani kuja kulia lia hapa kwamba ulimfanyia marehemu kazi? Ili iweje? Tukuonee huruma au? Kijana wa hovyo sana wewe.
Inaonesha wazi ww ni jinsia Gani, sihangaiki kukujibu k*ma ww
 
Inaonesha wazi ww ni jinsia Gani, sihangaiki kukujibu k*ma ww
Hehehee, tusifike huko, jibu swali. Mifugo ya marehemu inatuhusu nini sisi? Kulikua na haja gani ya kuja kutuambia habari ya kutibu mifugo yake? Ili iweje? Kwani mifugo nayo imekufa? Acha uzuzu kijana.
 
Kwani ww kimekuuma nn? Ulilazimishwa ku comment? Balance shobo
 
Kwani ww kimekuuma nn? Ulilazimishwa ku comment? Balance shobo
Siku nyingine usichanganye habari za UDAKU kwenye taarifa kama hizi, wewe KULISHA MIFUGO ya marehemu sio jambo la KUJITAPA kupitia msiba wake. Sawa sawa?
 
Siku nyingine usichanganye habari za UDAKU kwenye taarifa kama hizi, wewe KULISHA MIFUGO ya marehemu sio jambo la KUJITAPA kupitia msiba wake. Sawa sawa?
Una ushowadina flani hivi..hongera umesikika.
 
Unapenda kuhamisha mijadala ww jamaa....
unajaribu kuleta vionjo ambavyo havipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…