TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

 

I saw him last week at Mlimani City. Alionekana Ana nguvu zake. Kumbe ndio bye bye
 
Apumzike kwa amani, Dah jana tu nimetoka kudownload CV yake hakikia tumepoteza nguli wa uchumi.
 
Mida ya alfajiri huwa ni mida ya usingizi mwingi sana hasa kawa dereva aliedamka usiku mkubwa au kama hakuwa na usingizi wa kutosha kupumzika, najua wale madereva wa safari ndefu hili mtakuwa mnalijua. Pole kwa wafiwa...
 
Pole sana kwa Familia yake, kweli ni pigo
 

Kifupi njia ya Dar, Morogoro au Dar chalinze ilipaswa kuongezwa walau njia zisizopungua mbili hadi tatu.
 
Wana magari mazuri ndio lakini waambieni waendeshe magari taratibu nayo yametengenezwa na binadamu.

R.I.P NGOWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…