TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

Siku zile za kwanza, Magufuli alipokuwa fearsome dictator,Profesa Ngowi ndiye aliyekuwa one of the first people kutoa maoni mbadala kuhusu Sera za uchumi. Yaani,wakati ule ilikuwa siyo safe kumpinga Magufuli.
Acha ujinga wako Magufuli na Ngowi wamashatutoka umekalia ujinga wa wanasiasa hapa. Ngowi alikuwa anajitambua na hakuendeshwa na mihemko yenu ya kutukana viongozi.
 
Kwa mara ya kwanza kuonana naye ilikuwa wiki juzi pale Mzumbe University Dar Es Salaam Campus, tokana na physical appearance psychology alikuwa ni mtu mwenye hekima sana.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe milele amina [emoji26]
Kheeeh Dar kuna mzumbe university? Campus iko sehemu gan?
 
Majina ya watu yanaendana na tabia, Honest kama jina lako lilivyo, nimesikiliza interviews zake nyingi, alizungumza concept za uchumi In a very honest way, kiasi kwamba kila mtu alimuelewa. RIP prof
 
Yaani siku hizi ajali ikitokea lazima neno Morogoro liwepo.
 
Kheeeh Dar kuna mzumbe university? Campus iko sehemu gan?
Barabara ya Upanga ukitokea Mnazi Mmoja kuelekea Posta mpya, baada ya kupita kituo cha dala dala "Baridi" kabla ya kufika maktaba kuu ya Taifa kuna barabara inakunja kushoto 1 kwa 1 hadi MUDC ambapo ni kwa umbali wa robo 3 ya kilometers toka kona ya barabara kuu.
 
Kwa nini watu muhimu kama hawa,hamuwajulishi na wenzenu wengine,ili wafaidike kwa ushauri.Mpaka wanafariki,ndio unapata habari zao.
Tuacheni ubinafsi,ikiwa kuna watu muhimu,tujulishaneni.
 
Amenifundisha industrial economics and international trade wakati nasoma Mzumbe. Juzi tarehe 25 nimeonana nae tena serena. Akaniuliza upo wapi sasa kijana. Dah kumbe ndio nilikuwa namuaga
 

Wewe nae punguza uropokaji tuuu hii ajali hajasaba ishwa na dereva!
 
Duu! Hakika ni piga kubwa si kwa familia yake tu hata taifa kwa ujumla
 
Amenifundisha industrial economics and international trade wakati nasoma Mzumbe. Juzi tarehe 25 nimeonana nae tena serena. Akaniuliza upo wapi sasa kijana. Dah kumbe ndio nilikuwa namuaga
Haswaa...alipenda sana kutumia neno "kijana" RIP Ngowi profesa wa mfano wa kuigwa chuo kikuu Mzumbe
 
Dereva,ana husikaje hapo?
Kwanza, sijasema dereva ana kosa. Wote hatujui walikuwa kwenye mwendo gani na pia siyo lazima kosa la dereva mwingine lisababishe kifo cha dereva wa gari lingine. Soma andiko langu vizuri kama unataka kulielewa.
 
Anaongelea defensive driving , ambayo haswa ni package mahsusi unapoendesha executives.
Unaweza kuona tu ni lori limeangukia hiyo land cruiser , lakini dereva mahiri hawezi kuingia kwenye akward situations kirahisi.
Nakushukuru kwa kuwaelimisha wenzetu ambao hawapendi kujifunza kutoka kwa wenzao!
 
Kwenye kudondokewa na kontena, dereva unamuhusishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…