Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

Huo ndo ukweli, ndani ya mwaka mmoja nimeongezewa kiasi Cha shilingi 230,000 kwenye mshahara wangu, Sasa nisimsaport mama si nitakuwa mngojwa Mimi?
 
Sahii kabisa,
Lipumba anafuata nyayo za mrema[emoji4][emoji106]
 
Mc kasema ahsante sana mwenyekiti kwa lipumba,kwani hili lipumba ni mwenyekiti wa nini mbele ya soft-magician speaking president wetu?
 
Sasa kama kila kitu ni Kosher, kwanini asijiunge tu CCM ili kuendeleza kazi nzuri ?, Anafanya nini huko alipo !!!!
 
Leo nimejilaumu kumskiliza huyu mzee akiongea mbele ya Raisi Samia.,,ilikua aibu kubwa mno mbele ya mke na watoto wangu.
 
Marehemu aliachwa akainda kwa kishinda ila hakumaliza siku 150
 
Wapinzani wote wamelambishwa asali. Hata Mrema ni mpinzani lakini kila mkutano wa CCM yupo, yule mwingine anasema msifanye siasa za kuitukana serikali, kweli wananchi tu ndo hawajalamba asali.
Sasa unataka kutukana Bandugu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…