unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Dikteta Magufuli ameondolewa kwa nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini serikali isihakikishe wanaolewa kwa kugharimia harusi zao hukohuko shuleni?
Kwanini walikuwa hawaruhusiwi kuendelea? Nini kimebadilika ?
Wanasiasa walivyowanafiki (wabunge)utasikia tena wanaipongeza serikali wakati kipindi kile cha meko, walikataa kabisa hadi wengi wakamuita zitto kuwa ni adui wa taifa!!anatakiwa kuuawa, baada ya WB, kugoma kutoa pesa!!Moja ya masharti ya ule msaada toka WB, hapakuwa na namna nyingine zaidi ya kukubali, nyie mnaopinga mjue serikali inahitaji zile pesa za WB bora muwe wapole tu.
U boyfriend na u girlfriend havijawahi kupungua kwa sababu ya kuogopa mimba, haya mambo huwa yapo tu na mimba hutokea kama ajali kazini. Sema labda abortions zitapungua kwa kiasi fulani lakini lifestyle ya wanafunzi haitobadilika.Hii si sawa kulingana na kizazi tulichonacho,km ni mpango uwe mpango haswa,vngnevyo hii issue itaharibu wanafunzi kwani inawafanya wasiwe na cha kupoteza,u boyfrend na u girlfrend utatamalaki mashuleni...
Wakiwa wanaabort unakuwaga wapi sasaSo kwako unaona Sawa mwanafunzi kupata mimba. Huyu Mtoto kumlea Mtoto mwenzake. Badala ya kutafuta mbinu za kuwasaidia wajitambue. Mnakimbilia short Kati. Mbona hawa wazungu hatuwaoni wakipata ujauzito mashuleni.
🤣Mwambie a rewind awe kama anasoma hiyo statement budget ya 2018 1u 2019
Kwanini walikuwa hawaruhusiwi kuendelea? Nini kimebadilika ?
Comment ya jaziba! Mwendazake kaenda na akili zako, umebaki mburula tuKwanini serikali isihakikishe wanaolewa kwa kugharimia harusi zao hukohuko shuleni?
Utoto na ujinga , soma Protocal za kimataifa tulizosaini kuhusu haki za watoto wa kike kupata elimu.Kwanini serikali isihakikishe wanaolewa kwa kugharimia harusi zao hukohuko shuleni?
Halafu watu wanasahu kuwa tumesaini protocol kuhusu haya maswala.Moja ya masharti ya ule msaada toka WB, hapakuwa na namna nyingine zaidi ya kukubali, nyie mnaopinga mjue serikali inahitaji zile pesa za WB bora muwe wapole tu.
Kupata elimu ni haki ya mtoto, lakini mpaka sasa serikali haina shule za kutosha kusomesha wote, wengi hukosa nafasi kuendelea na masomo kwa kukosa nafasi. Aliepata nafasi na akaamua kuingia kwenye uzazi ameona elimu kwake haifai, uamuzi wake uheshimiwe, nafasi yake wapo wanaoihitaji. Hata kufanya kazi ni haki ya raia, akikiuka sheria za kazi anafukuzwa. Hakuna kanuni na sheria kwa mwanafunzi? Kuzitekeleza si kukiuka haki yake.Soma vizuri maelezo ya Waziri.
Hawa watoto wahanga wa mimba za utotoni, wanaandaliwa utaratibu wa kuwawezesha kurudi masomoni baada ya kuzaa. Mpaka tuone huo utaratibu, ndiyo tunaweza kujua faida na hasara zake.
Kilicho muhimu, ni kuwa baada ua hao watoto kupatwa na janga la mimba, wanapata elimu.
Utawala umebadilikaKwanini walikuwa hawaruhusiwi kuendelea? Nini kimebadilika ?