Eti anabakwa!!? Pole..Hatujawahi kutumia akili vizuri;
. Mtoto wa kike anabakwa anapata mimba
Na shule anafukuzwa...tunamkomoa nani?
Kwanini asipewe nafasi kujutia makosa asome ajikwamue?
Hii ni sheria kandamizi iondolewearaka
Ni kweliMoja ya masharti ya ule msaada toka WB, hapakuwa na namna nyingine zaidi ya kukubali, nyie mnaopinga mjue serikali inahitaji zile pesa za WB bora muwe wapole tu.
Hiyo ni ngumu kidogo. Tuseme serikali inaratibu na kugharamia ndoa za hawa wasichana wahanga. Si itaonekana wagharamie pie ndoa za wavulana, ili kutenda haki? But seriously, siyo haki kusitisha masomo kwa msichana kisa amepata ujauzito. Huo ni unyanyasaji uliopitiliza. Mindset aina hii ni za kibaguzi, kiume na kibinafsi
Ahahahah hizi akili za Magufuli kabisa😅😅😅Nisaidie: sheria inazuia kumpa mimba au kufanya ngono na mwanafunzi? Mwenye uwezo wa kuzuia mimba ni mwanamke, inakuwaje wanakubali kupata mimba? Wabakaji wahukumiwe, hawa wasichana vihele hele wanao wakonyeza wanaume wapewe lift na hela za chips wachukuliwe ni wabakaji.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Baada ya 17.03.21 (au 10.03.21) akili zilianza kuwarudia kidogo kidogo.Kwanini walikuwa hawaruhusiwi kuendelea? Nini kimebadilika ?
mbona unaweweseka,ulizalia shuleni kwani??MATAGA utawasikia "Oyeeeeee serikali ndio hii, Mabinti zetu lazima wasome" hii ni 2021
Lakini somewhere 2016-2017 " Oyeeee huyu ndio raisi, hatuwezi kusomesha Malaya, watawafunza watoto wetu umalaya, Hapa tumepata Raisi'
Shenzi kabisa
acha wakoboand mpaka kieleweke.Hii si sawa kulingana na kizazi tulichonacho,km ni mpango uwe mpango haswa,vngnevyo hii issue itaharibu wanafunzi kwani inawafanya wasiwe na cha kupoteza,u boyfrend na u girlfrend utatamalaki mashuleni...
ukichunguza yanayopiga kelele hizo za kijinga humu yapo kwenye vipengere hivi hapa chini.Kuna wakati inabidi kama wazazi na jamii tuache siasa kwenye malezi na kuwa wakweli japo maumivu yapo.
Ukweli ni kwamba binti akipata mimba ameingia rasmi kwenye jukumu zito la malezi.
Wakati tunaangalia haki ya huyu binti kuendelea na masomo tuangalie pia haki ya hiki kiumbe alichokileta duniani haswa katika umri mdogo kabisa ambapo anamhitaji mama zaidi ya kitu chochote kile
Sijasema mtoto akipata mimba asisome tena ila kuna hata ya kiwepo kwa sheria za kumlinda mimba ikiwa tumboni na kumlinda mtoto anayezaliwa pia. Tusimwangalie aliyepo tukamsahau na kumnyima haki anayekuja.... hao wote ni watoto ila katika rika na uhitaji tofauti
Tuwaambie watoto wetu kuzaa ni jukumu zito ili wajue kwamba ni bora kusubiri wamalize masomo
tunatoa maamuzi kutokana na madhara mkuu.yaani ukihalalisha kwa sababu ya wanaobakwa ambao hata 1% haifiki umesaidia maharamia 97% kuendelea kula maisha.Tafsiri yako ni potofu. Kusema waliopata mimba waendelee na masomo siyo sawa na kusema "sasa sio ishu kumbebesha mimba mwanafunzi maana atasoma tu." Wanafunzi wanapata mimba katika mazingira tofautitofauti: kuna wanaobakwa na kupata mimba, kuna walio katika uhusiano na wanfunzi wenzao au walimu na kuna wanaolazimishwa mapenzi ili wafaulu masomo au kuendelea na masomo.
ukichunguza yanayopiga kelele hizo za kijinga humu yapo kwenye vipengere hivi hapa chini.
1,ni madada ambayo hayana familia wala hayana ratiba ya kuipata,either kwa uzembe au nje ya maamuzi yao.
2,maanaume ambayo hayana familia na hayana tumaini la kiuchumi ili kutulia na kuanzisha familia.
3,mamama yanayolea vibaya watoto,yanasukumwa kutoa michango hii ili kujiweka sehemu salama.
4,mababa mazima yanayorubuni na kula vitoto vya shule.
mzazi makini ambaye tayari ana familia,hawezi kubaliana na serikali ya prof kwa maamuzi hayo.hakuna kitu kinamuuma mzazi kama mtoto kukatisha masomo kwa ujauzito.maana mbali na shule tunaamini pia ni hujifungia njia zako za kimahusiano yaani ndoa.
kwingine familia masikini,unakuta mwanafunzi tu anatunzwa kwa tabu,akijazwa akajifungua,majukumu ya kumuwaza mwanae na shule ndio kabisaaa,hakuna kusoma hapo.
sijajua kwa wenzetu ulaya wamefanikiwaje kwenye hili,maana naona nyege za watoto nazo zinazingatiwa kama haki ya msingi na wanaharakati,sijui watoto wa kitasha hawawashwi??