mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Wewe upo kwa wanasesere au parallel state?Hivi huyo profesa ana mchango gani kwenye nchi hii mpaka sasa au analeta siasa zake za kikomunisti. Atupishe tujenge nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe upo kwa wanasesere au parallel state?Hivi huyo profesa ana mchango gani kwenye nchi hii mpaka sasa au analeta siasa zake za kikomunisti. Atupishe tujenge nchi
Kama magufuli alikua na faili mirembe lakini bado akapitishwaUtawala wa Trump ulijaa ufisadi ndio maana hakuchaguliwa tena mara ya pili na bunge lilimu impeach.
Wananchi walio wengi wakiamua kumchagua yoyote kupitia uchaguzi huru kuwa Rais wao hakuna tatizo, hata akiwa na "faili Mirembe".
Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya Shivji? Yule Trump aliyekuwa Rais wa Marekani ana biashara dunia nzima, Vipi nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?
Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof Shivji angekuja na maoni haya pia?!!
Ndo maana nikaomba nielimishwe kiongozi au kuna tatizo katika hilo?!!Wewe pia hapa na ujinga wako! Balozi ana law firm ambayo inatetea kampuni zinazoishitaki Tanesco, huyo mama huoni kuwa katika Bodi ya tanesco si sahihi? Je, vetting imefanyika Sawa? Au kwa vile walimwajiri Ridiwani Kikwete wakati huo
Hoja yako ni mufilisi, kwani unafikiri kila wanachofanya wamarekani ni sahihi?Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya Shivji? Yule Trump aliyekuwa Rais wa Marekani ana biashara dunia nzima, Vipi nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?
Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof Shivji angekuja na maoni haya pia?!!
WaTanzania hamueleweki!! Kuna thread ipo humu ikidai TZ inahitaji watu wa private sector wenye exposure ndio wasimamie taasisi za umma ili ziwe na ufanisi..... Leo tena oooh wafanya biashara wasiwe kwenye kusimamia hizi taasisi?? Which is which.
Muda mwingine naona Magufuli alikua sahihi tu kufanya alichojisikia yeye hata kama ni mistake sababu waTZ hawaeleweki wanataka nini.
Mchango wako unachekesha lakini naona kuna kitu umekiona, tujipe mda.Acheni kelele, anzeni kusafisha Machemli kwa Walalahoi wenzangu, wale wa daraja la kati anzeni kuangalia angalia Majenereta yenu yapo sawa!
Hongera sana mkuu kwa kuliona hilo, Ujamaa ni kilema cha waTzProf.amekwama kwenye Siasa za ujamaa
Mkuu labda unisaidie, hivi bodi inaweza amua mambo tu kiholela bila hata waziri au Rais/vyombo vya usalama kushauri otherwise prior to maamuzi? Mbona wakiboronga huwa wanatimuliwa? Maadam wanafanya kazi ndani ya sheria na kanuni basi wakizivunja watatimuliwa tu.Hakuna mtu aliyeelimika asiyejua umuhimu wa mchango wa sekta binafsi. Lakini lazima tutizame hili katika context ya Tanzania, nchi ambayo haina wala haitilii maanani kanuni za kudhibiti migongano ya maslahi. Nchi ambayo sekta binafsi inategemea na inashindana kupata access kwenye rasilimali za umma ili kuneemeka. These are genuine concerns
Hivi unadhani wote humu ni wajinga?😆😆Utawala wa Trump ulijaa ufisadi ndio maana hakuchaguliwa tena mara ya pili na bunge lilimu impeach.
Wananchi walio wengi wakiamua kumchagua yoyote kupitia uchaguzi huru kuwa Rais wao hakuna tatizo, hata akiwa na "faili Mirembe".
Nakubaliana na wewe, Ila kwa bongo ni maumivu matupu. Hao watu wapo tayari kushinikiza shirika kuingia mkataba na kampuni fulani ili wapige 10%, Kama ilivyofanyika kwa dowansYes kwenye uadilifu kuna hoja ya msingi ila sio eti kwa kuwa wapo private sector au ni wafanya biashara basi hawafai kuongoza bodi za taasisi ya umma?
Si mnasema anawakomoa sukuma gangHuyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Mama yuko vizuri!... nchi inaongozwa na sera za CCM tuzingatie hilo.
Mkuu chain inaanzia juu kabisaMkuu labda unisaidie, hivi bodi inaweza amua mambo tu kiholela bila hata waziri au Rais/vyombo vya usalama kushauri otherwise prior to maamuzi? Mbona wakiboronga huwa wanatimuliwa? Maadam wanafanya kazi ndani ya sheria na kanuni basi wakizivunja watatimuliwa tu.
2. Ni kheri uchukue wafanya biashara wanaojua soko linahitaji nini na market patterns ni zipi kuliko profesa wa UDSM ambaye anajua theories tu lakini hana practical experience ya kuendesha taasisi pana kama TANESCO!!
3. Kingine Tanzania na dunia nzima inaendeshwa kwa ubepari ama market economy lakini ni ngumu sana kuchora mstari kati ya private sector na public sector.
Mfano tunajua kuna mawaziri ambao wana biashara na hisa kwenye sekta binafsi je Mwigulu au Jenista wawe disqualified kuwa viongozi serikalini kisa wana biashara binafsi? Au double standards ni pale mfanya biashara mkubwa tu anapokua kwenye bodi ya TANESCO ila akiwa mwanasiasa ni halali ???
VERDICT: Mimi siungi mkono mafisadi kuwepo kwenye bodi ila naunga mkono 100% kujaza watu wa private sector kwenye taasisi za umma ili waweze kuongeza ufanisi. Imagine TTCL inavyoendeshwa!! leo hii wakihamisha management nzima ya Vodacom/Tigo kwenda TTCL unadhani ufanisi hautongezeka?
kikubwa ni sheria za kudhibiti bodi, manunuzi, tenda, matumizi n.k ziangaliwe na zisimamiwe 100% trust me kutakua hakuna madhara hata Seth akipewa TANESCO!!
Akili kubwaMkuu labda unisaidie, hivi bodi inaweza amua mambo tu kiholela bila hata waziri au Rais/vyombo vya usalama kushauri otherwise prior to maamuzi? Mbona wakiboronga huwa wanatimuliwa? Maadam wanafanya kazi ndani ya sheria na kanuni basi wakizivunja watatimuliwa tu.
2. Ni kheri uchukue wafanya biashara wanaojua soko linahitaji nini na market patterns ni zipi kuliko profesa wa UDSM ambaye anajua theories tu lakini hana practical experience ya kuendesha taasisi pana kama TANESCO!!
3. Kingine Tanzania na dunia nzima inaendeshwa kwa ubepari ama market economy lakini ni ngumu sana kuchora mstari kati ya private sector na public sector.
Mfano tunajua kuna mawaziri ambao wana biashara na hisa kwenye sekta binafsi je Mwigulu au Jenista wawe disqualified kuwa viongozi serikalini kisa wana biashara binafsi? Au double standards ni pale mfanya biashara mkubwa tu anapokua kwenye bodi ya TANESCO ila akiwa mwanasiasa ni halali ???
VERDICT: Mimi siungi mkono mafisadi kuwepo kwenye bodi ila naunga mkono 100% kujaza watu wa private sector kwenye taasisi za umma ili waweze kuongeza ufanisi. Imagine TTCL inavyoendeshwa!! leo hii wakihamisha management nzima ya Vodacom/Tigo kwenda TTCL unadhani ufanisi hautongezeka?
kikubwa ni sheria za kudhibiti bodi, manunuzi, tenda, matumizi n.k ziangaliwe na zisimamiwe 100% trust me kutakua hakuna madhara hata Seth akipewa TANESCO!!
Taratibu utamkubali tu!WaTanzania hamueleweki!! Kuna thread ipo humu ikidai TANZANIA inahitaji watu wa private sector wenye exposure ndio wasimamie taasisi za umma ili ziwe na ufanisi. Leo tena oooh wafanya biashara wasiwe kwenye kusimamia hizi taasisi? Which is which.
Muda mwingine naona Magufuli alikua sahihi tu kufanya alichojisikia yeye hata kama ni mistake sababu waTZ hawaeleweki wanataka nini.