Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Tulia wewe!Hatuna rais tena, tuna copy ya rais kwa sasa. Yule mama tulipgwa mchana kweupeee.
Lini tz ilikuwa na rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewe!Hatuna rais tena, tuna copy ya rais kwa sasa. Yule mama tulipgwa mchana kweupeee.
Si mlikuwa mnashangilia kwamba sukuma gang inakomolewa?wafanyabiashara ni nyoko. usikute wamechanga hata 500m yakatoa ili kupenyeza watu wao jikoni.
Jiulize alikua marekani muda mrefu halafu kaja jana wanasema ameteua, tena majina yametoka bado akiwa uwanja wa ndege anashangilia kurudi kwake.
Mbaya zaidi wanasema aliteua alhamisi siku ambayo alikua anahutubia UN.
Yule wanampa tu anasaini basi.
Kama kweli kilichoelezwa na mtoa mada, basi tambua kuwa kuna mgongano wa kimaslahi hapo. Mwanzilishi wa Rex Attorneys inayoishitaki Tanesco kwa niaba ya makampuni mengine akawe Board member wa Tanesco? Huitaji shahada kujua nini kinaendelea.Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya Shivji? Yule Trump aliyekuwa Rais wa Marekani ana biashara dunia nzima, Vipi nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?
Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof Shivji angekuja na maoni haya pia?!!
Wengi ya watu wanaoingia kwenye teuzi sasa ni watu wa kipindi cha Kikwetena wengi wana makandokando kibao. Makucha halisi yanaanza kuchomoza sasa na ufisadi unarudi upya.Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
NimekupataKama kweli kilichoelezwa na mtoa mada, basi tambua kuwa kuna mgongano wa kimaslahi hapo. Mwanzilishi wa Rex Attorneys inayoishitaki Tanesco kwa niaba ya makampuni mengine akawe Board member wa Tanesco? Huitaji shahada kujua nini kinaendelea.
Refer; Waziri wa Uchukuzi anayeisimamia ATC kuwa Board member na shareholder wa Precision Air, nini kilitokea?
Sawa, turudi hapo kwenye huyo wa piliHoja yako ni mufilisi, kwani unafikiri kila wanachofanya wamarekani ni sahihi?
Haiwezi kutokea hapa, kwanza ibinafsishe ndo iendeshwe kibiashara, kinyume na hapo, ni utaratibu tu wa kuwapiga waTz.Ukifuatilia kwenye mitaa ya Twitter huyo Prof wamempiga spana vizuri wakitoa na mifano hai ya S.O.Es zinazoendeshwa kibiashara zinavyofanya vizuri kwa huduma na biashara
Sawa kiongozi!Utawala wa Trump ulijaa ufisadi ndio maana hakuchaguliwa tena mara ya pili na bunge lilimu impeach.
Wananchi walio wengi wakiamua kumchagua yoyote kupitia uchaguzi huru kuwa Rais wao hakuna tatizo, hata akiwa na "faili Mirembe".
Hahahahaaa! Aya kiongoziMgongano wa kimaslahi naamini haihitaji hata katiba. Huyo mama kupaswa kuwa hapo.
Sikuwahi na Sitowahi mkubali JPM hata Mama azingue vipi!! Sera zake zilikua zinaenda kuzika uchumi wa TZ by 2025!Taratibu utamkubali tu!
Ni suala la muda tu
Hii ni very weak point,wataalanu wa biashara ni muhimu sana kuwndesha asasi za umma kwani wanaingiza utaalamu mkubwaMsomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.
Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.
Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.
"Pamoja na kushirikiana na sekta binafsi, huwezi kuwaingiza wafanyabiashara jikoni wakupikie chakula cha umma!
Sekta ya umma na sekta binafsi hazilinganiki. Ni kweli huwezi kuendesha biashara kama idara ya serikali; pia ni kweli huwezi kuendesha serikali kama kitengo cha biashara."
Unaweza kusoma mwenyewe hapa.
Weka yoyote yule, kama bado ni 100% owned by Gov, watakachofanya hao wafanyabiashara ni kuanzisha au kukuza biashara zao kupitia shirika hilo na HILO ndo lengo mpaka sasa, KUPIGA. Serikalini hakuna discipline na kuchukuliana hatua, ukiiba hapa unahamishiwa kule.Kama mkurugenz mkuu alikua ni engineer na shirika lilipata hasara basi ni vizuri tukajaribu pia kuweka na wafanyabiashara tuone hali itakuaje..
Sawa mtaalamu! Kila la kheir katika mapambanoIngawa unalindwa na katiba kutoa maoni ila hapa umeandika pumba hazifai kulishwa nguruwe
Hata Mnyika aliwahi kumtusi sana JK ila juzi juzi tu hapa alikuwa anamwita JK jembeSikuwahi na Sitowahi mkubali JPM hata Mama azingue vipi!! Sera zake zilikua zinaenda kuzika uchumi wa TZ by 2025!
Ndio maana nikahoji mbona hata mawaziri ni share holders wa baadhi ya kampuni huko private sector ila hawazuiwi kuwa mawaziri/wabunge??Mkuu chain inaanzia juu kabisa
Nadhani unakumbuka kipindi Cha Dowans, Maajar anaishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans huku akiwa sehemu ya dowans. Unafikiri waziri na raisi hawakuwepo?