Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
nachelea kuhoji unadhani Prof agundua lini hiyo hali hata analaumu wananchi wasio na habari hata na hiyo issue?🐒Pengine hujaelewa vizuri hoja za Gen z ukiacha matukio ya kihuni yaliyofanywa na wahuni waliovamia hiyo movement ni kwamba walikuwa hawkubaliani na ongezeko kubwa la kodi ambalo serikali ilikuwa iongeze bila kuzingatia uhalisia wa maisha ya wananchi.
Jambo la muhimu kuzingatia ni kwamba hawa wanaoitwa wasomi kuna wakati hufanya maamuzi yanayokandamiza raia kwa maslahi binafsi.
Anachosema prof ni kwamba hii mikataba inayotugharimu sasa hivi kama taifa ilifanywa na wasomi lakini waliongozwa na maslahi binafsi na walikuwa comfortable kwa sababu hakuna pressure yoyote toka kwa raia wa kawaida ambao wanaowaongoza.
nikisema anachochewa na upweke katika medani ya siasa nakosea?🐒
nikimfananisha na gen z wa Kenya ambao walikua na hoja, mahitaji, madai na fursa muhimu sana kwenye meza ya mazungumzo na rais wao kwa mustakabali wa maisha kwa serikali yao, lakini kwa kiburi, jeuri na majivuno wakadinda kutumia fursa hiyo muhimu kwa mualiko wa rais kuwasilisha madai yao serikali, sawa na huyu mumama aliekosa uelekeo baada ya muda mrefu kuwako ndani ya serikali na kutumia fursa hiyo kurejebisha anachokilalamikia🐒