Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

Pengine hujaelewa vizuri hoja za Gen z ukiacha matukio ya kihuni yaliyofanywa na wahuni waliovamia hiyo movement ni kwamba walikuwa hawkubaliani na ongezeko kubwa la kodi ambalo serikali ilikuwa iongeze bila kuzingatia uhalisia wa maisha ya wananchi.

Jambo la muhimu kuzingatia ni kwamba hawa wanaoitwa wasomi kuna wakati hufanya maamuzi yanayokandamiza raia kwa maslahi binafsi.
Anachosema prof ni kwamba hii mikataba inayotugharimu sasa hivi kama taifa ilifanywa na wasomi lakini waliongozwa na maslahi binafsi na walikuwa comfortable kwa sababu hakuna pressure yoyote toka kwa raia wa kawaida ambao wanaowaongoza.
nachelea kuhoji unadhani Prof agundua lini hiyo hali hata analaumu wananchi wasio na habari hata na hiyo issue?🐒

nikisema anachochewa na upweke katika medani ya siasa nakosea?🐒

nikimfananisha na gen z wa Kenya ambao walikua na hoja, mahitaji, madai na fursa muhimu sana kwenye meza ya mazungumzo na rais wao kwa mustakabali wa maisha kwa serikali yao, lakini kwa kiburi, jeuri na majivuno wakadinda kutumia fursa hiyo muhimu kwa mualiko wa rais kuwasilisha madai yao serikali, sawa na huyu mumama aliekosa uelekeo baada ya muda mrefu kuwako ndani ya serikali na kutumia fursa hiyo kurejebisha anachokilalamikia🐒
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.

Mnafiki tu huyo.....hilo sisi tunahjua hilo kitambo sana.

Baada ya kutoka ndio kayajua?
 
Ni ustarabu gani ambao kila mwaka yanafunguliwa makesi ya mikataba chechefu na tunapigwa mabilioni wakati waliosaini kwa niaba yetu wapo tu. Kwa hiyo kama ustarabu wetu ni kupigwa mabilioni hivi basi ni ustarabu wa kipuuzi sana.
Ndiyo maana naendelea kusisitiza kwamba tuna jamii ambayo haitaki kuhoji ama inaogopa kuhoji ,(silent society). Jamii yetu imetuandaa kuto kuhoji lakini huwezi kuibadilisha hii jamii kwa maandamano
 
Mimi nadhani tumpongeze kwa kuongea kuliko kunyamaza
Hakuna kipya alichokiongea mambo yote hayo ya mikataba umiza kausha Damu yanajulikana miaka yote na watu wote wanajua ila hawana jinsi ya kufanya. !

Kwahiyo yeye angetusaidia kutufundisha tufanye nini sasa kuondoa hayo matatizo !

Akifanya hivyo tutampongeza 🙌👍
 
Hata saa mbovu wakati mwingine huwa inasema ukweli.

Prof. Tibaijuka Ana Hoja yenye mashiko, asikilizwe.
Ana hoja of course lakini hiyo hoja sio ngeni maana inajulikana kwa kila mtu hapa Bongo,
Na yeye pia alikuwa ni mchezaji wa hiyo timu ila kwa kuwa yuko nje ya uwanja kwa sasa anajaribu kumkumbusha kocha amkumbuke ili amuingize mchezoni !
Just as simple as that !
 
Yap hata yeye kajitetea kuwa unapokuwa serikalini unatakiwa kumsaidia rais na yeye anakuwa mbeba maono yote
Kwahiyo angemalizia kwa kusema hii yote inakuwa hivi kwa sababu ya Katiba iliyopo .
Hivyo aseme anaona kuna umuhimu wa kupata Katiba mpya bora !
Hapo tungemuelewa 🙌👍
 
Ndiyo maana naendelea kusisitiza kwamba tuna jamii ambayo haitaki kuhoji ama inaogopa kuhoji ,(silent society). Jamii yetu imetuandaa kuto kuhoji lakini huwezi kuibadilisha hii jamii kwa maandamano
Ndio uweke pendekezo lako la ni vipi tunaweza kutoka kwenye hili giza
 
Ana hoja of course lakini hiyo hoja sio ngeni maana inajulikana kwa kila mtu hapa Bongo,
Na yeye pia alikuwa ni mchezaji wa hiyo timu ila kwa kuwa yuko nje ya uwanja kwa sasa anajaribu kumkumbusha kocha amkumbuke ili amuingize mchezoni !
Just as simple as that !
Mimi sina wazo Hilo zaidi sana nadhani anajaribu kuongea ukweli wa moyo wake mithili ya mtu anayekaribia kufa ili asijekufa na hatia
 
Hakuna kipya alichokiongea mambo yote hayo ya mikataba umiza kausha Damu yanajulikana miaka yote na watu wote wanajua ila hawana jinsi ya kufanya. !

Kwahiyo yeye angetusaidia kutufundisha tufanye nini sasa kuondoa hayo matatizo !

Akifanya hivyo tutampongeza 🙌👍
Yaan
Ndio uweke pendekezo lako la ni vipi tunaweza kutoka kwenye hili giza
1.Viongozi tunao wapa dhamana waache kuahirisha kufikiri kwa nafsi ,(kujizima data). 2.Tuwasikilize wenye mawazo tofauti na yetu kwa hoja. 3.kumbe kwenye jamii zetu kuna watu wenye uelewa tofauti ndiyo maana tunatofautiana kupokea mawazo ama jambo hapa namaanisha uwezo wetu wa kufikiri tunatofautiana japokuwa kunavingine tunaweza kuvifanya wote mfano kuendesha gari, kula, kupupu,kuoga, kunywa lakini vingine vya kutumia jicho la tatu hao hao ambao vitu hivyo tunaweza vifanya hawawezi ila kwenye mapokeo ya maamuzi tusiyo yatarajia wote huathirika hii inaamana kwamba kuna muda hata hao nimuhi wakashirikishwa ili kupata mapokeo chanya
 
Inashangaza sana.

Alipokuwa kwenye system lile sakata la IPTL lilimhusu na hakuona huruma kwa wananchi, sasa ndio anaona.

Inakuwa kama mtu ukipewa madaraka akili unazifungia kwenye sanduku mpaka muda wa cheo uishe.

Unayoyasema siyo kweli. Hivi u ajua kuwa ule mkataba wa IPTL, mpaka leo hakuna aliyepatikana na hatia?

Lakini pua ufahamu kuwa Prof. Tibaijuka hakuwa na kosa lolote la shule yake kuchangiwa sh milioni 20 na Rugemarila. Na hakuwahi kukataa kuwa alipewa hiyo pesa. Na alipoona kelele ni nyingi aliipeleka hiyo pesa Serikalini. Katika hizi Serikali za CCM, nani aliwahi kufanya hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza sana.

Alipokuwa kwenye system lile sakata la IPTL lilimhusu na hakuona huruma kwa wananchi, sasa ndio anaona.

Inakuwa kama mtu ukipewa madaraka akili unazifungia kwenye sanduku mpaka muda wa cheo uishe.
Ulitaka asile wakati anajua nyie watanzania mnakaa kimya hata mkiibiwa
 
Uovu, Siri na giza vinahusiana na shetani. Mwanga uwazi na haki vina asili kwa Mungu na huambatana.
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.

Mjing.a
 
Hakuna cha shetani, ni makusudi mazima inabidi wanyongwe
Nchi ya Guinea, huko Afrika Magharibi, juzi kiongozi mstaafu kaila miaka 20 jela kwa maswala kama haya.
Haya hapa kwetu hayawezekani chini ya CCM. Kazi muhimu ya kwanza ni kuiondoa hii CCM kwanza, au kujirekebishe huko ndani kwa ndani kwanza.
Halafu haya mashetani yaliyopo sasa yashughulikiwe ipasavyo.
 
Back
Top Bottom