Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Uongoooo!!! 😂😂😂
Wewe nafikiri ungejikita kwenye udaku tu,siasa huziwezi,huna details,na hapo huitaki katiba hii ambayo hujui chochote juu yake

Sheria ya kuwa rais ilibadilishwa, kwamba sharti uwe na shahada ya chuo kikuu na umri usiopungua miaka 42

Ndipo mzee mrema akaisaka degree ya mtandaoni,bila shaka ulikua la pili au bado ulikua ukioga nje
 
.........wanaadhirika sana, walikuwa wanaandika habari za kuwa Madame President yupo hoi kama walivyokuwa wakimpakazia Jakaya.
Chama kile cha upinzani kina wafuasi wa hovyo sana, kazi yao ni kuombeana magonjwa na umauti na kuchochea vurugu.
 
Troll
Mnalipwa shingap kwenye hii kazi au ni mapenzi yaliyotukuka kwa kiongozi wa chama .
Maana inahitaji ujasiri mkubwa kutokua na akili kiasi hichi.

Naamini hata wewe ukisoma hiki ulichokiandika huwa unajicheka sana.
Kwamba kuandika Mhe. Rais ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ni mbaya?
 
Back
Top Bottom