Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Well done?

What’s the achievement?

Umetumia hilo neno kwa misingi ipi?

Kama ni kweli yuko na mawaziri(ambao hawaonekani kwenye picha), na wala haujui hata walichozungumza, unawezaje kusema “well done”? Au hujui matumizi ya hilo neno?

Au ni “well done” kwa kupiga picha ya kikao yeye mwenyewe bila ya waliopo kwenye kikao kuonekana?

Hii kazi yako ni ngumu sana na itakupatia ulemavu wa akili kama bado haijafanya hivyo.
The President,
Dr.Samia Suluhu Hassan has made our great and beautiful country, more united, more powerful and more stronger than before in all spheres of Tanzanians economic, social and political lives.

we are all proud of that as a nation regardless of useless perceptions and narratives among enemies of peace and stability of our united country 🐒
 
Jikite kwenye “mada mahsusi”

Umemwambia “well done” kwasababu ya hiyo picha yake akiongoza kikao cha mawaziri ambao hawaonekani?
 
Jikite kwenye “mada mahsusi”

Umemwambia “well done” kwasababu ya hiyo picha yake akiongoza kikao cha mawaziri ambao hawaonekani?
Na bado gentleman,
hiyo ni kidogo tu, na kwa kasi ya
vikao vya kimkakati na vya kiutendaji vinavyoendelea serikalini, ni wazi ilani ya uchaguzi CCM inakwenda kutekelezwa kwa 100% by 2028, regardless ya chuki binafsi na mihemko yenu useless gentleman 🐒
 
sifa ziende kwa Kitengo cha Impression Management kwa kazi nzuri iliyotukuka..
 
Nje ya mada.leo watu wa mapinga sehemu za uvamizi wanakwenda kulia.kama sio Simba motors basi udindivu.mtasikia vilio😔😔
Kuanzia Bunju hadi Bagamoyo kuna utapeli sana wa ardhi
 
Na bado gentleman,
hiyo ni kidogo tu, na kwa kasi ya
vikao vya kimkakati na vya kiutendaji vinavyoendelea serikalini, ni wazi ilani ya uchaguzi CCM inakwenda kutekelezwa kwa 100% by 2028, regardless ya chuki binafsi na mihemko yenu useless gentleman 🐒
Stupid wahed. Hopeless, brainless.
 
Stupid wahed. Hopeless, brainless.
Plz calm down gentleman,
nonsemse mayhem ana useless insults are always limits your thinking capacity,

Plz try to avoid it and open up your mind🐒
 
Back
Top Bottom