Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

.........wanaadhirika sana, walikuwa wanaandika habari za kuwa Madame President yupo hoi kama walivyokuwa wakimpakazia Jakaya.
Chama kile cha upinzani kina wafuasi wa hovyo sana, kazi yao ni kuombeana magonjwa na umauti na kuchochea vurugu.
Hivi watu wote wasioipenda Ccm ni Cdm?

Hakuna hata wanaCcm wenyewe wasiopenda matendo ya uongozi uliopo unaokwenda kinyume na madhumuni yake?
 
.........wanaadhirika sana, walikuwa wanaandika habari za kuwa Madame President yupo hoi kama walivyokuwa wakimpakazia Jakaya.
Chama kile cha upinzani kina wafuasi wa hovyo sana, kazi yao ni kuombeana magonjwa na umauti na kuchochea vurugu.
Punguza unafiki, mbona CCM na serikali yake inapoteza watu?.
 

Attachments

  • Screenshot_20261007-205930.png
    Screenshot_20261007-205930.png
    155.5 KB · Views: 5
Nje ya mada.leo watu wa mapinga sehemu za uvamizi wanakwenda kulia.kama sio Simba motors basi udindivu.mtasikia vilio😔😔
 
well done Rais wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan:KasugaYeah:
Well done?

What’s the achievement?

Umetumia hilo neno kwa misingi ipi?

Kama ni kweli yuko na mawaziri(ambao hawaonekani kwenye picha), na wala haujui hata walichozungumza, unawezaje kusema “well done”? Au hujui matumizi ya hilo neno?

Au ni “well done” kwa kupiga picha ya kikao yeye mwenyewe bila ya waliopo kwenye kikao kuonekana?

Hii kazi yako ni ngumu sana na itakupatia ulemavu wa akili kama bado haijafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom