Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Mkuu kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake Kama katiba inavyo sema mbona na MR slow slow kasha toa yake pia, ila ya Bwana askofu ndo yanaonekana nuksi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure!Huu ujinga wa serikali mbovu ya CCM kumkalia kimya Gwajima kuna Siku itawagharimu pakubwa
Hoja za Gwajima Zina mashiko na ivi ma-CCM yanavyotumia nguvu badala ya akili ndo kwanza point tatu anazo GwajiboyTatizo gwajima anaongea as if kafany utafiti,even though hata wizara hawaja thibitsha moja kwa moja kufaa kwake au kutofaa!!
Na tatizo la wataalamu wetu nao wanafuata siasa.Tatizo gwajima anaongea as if kafany utafiti,even though hata wizara hawaja thibitsha moja kwa moja kufaa kwake au kutofaa!!
Ata Tafiti za ndani zilizuiliwaMarumbano na Gwajima yanaendekezwa kwa sababu takwimu sahihi za ugonjwa wa Corona hazipo.
Kama takwimu za ugonjwa zingekuwapo mbona hata Askofu Gwajima na wafuasi wake wangekwisha pata chanjo zao?
Angalizo: Serikali endeleeni kuficha takwimu mkidhani inawasaidia Mtavuna mnachopanda!
Basi kuna shida! Watazuiaje tafiti, wakati tunahitaji chanjo ama tiba ya ugonjwa huu.? Kwa hiyo maelezo ya watafiti wetu wanakaribia kupata chanjo ni yakutilia mashaka?Ata Tafiti za ndani zilizuiliwa
brazaj, haya ni maigizo tu, hao wametumwa na CCM kututoa kwenye mjadala wa vitu muhimu kama tozo za miamala, kupanda kwa Bei ya mafuta, Kodi ya majengo, mjadala wa katiba, kesi ya kubambikizwa ya MBOWE etcMarumbano na Gwajima yanaendekezwa kwa sababu takwimu sahihi za ugonjwa wa Corona hazipo.
Kama takwimu za ugonjwa zingekuwapo mbona hata Askofu Gwajima na wafuasi wake wangekwisha pata chanjo zao?
Angalizo: Serikali endeleeni kuficha takwimu mkidhani inawasaidia, mtavuna mnachopanda!
Takwimu zipi hizo?Marumbano na Gwajima yanaendekezwa kwa sababu takwimu sahihi za ugonjwa wa Corona hazipo.
Kama takwimu za ugonjwa zingekuwapo mbona hata Askofu Gwajima na wafuasi wake wangekwisha pata chanjo zao?
Angalizo: Serikali endeleeni kuficha takwimu mkidhani inawasaidia, mtavuna mnachopanda!