1.Chanjo ziletwe za kutosha.
2. Elimu ya chanjo itolewe ya kutosha.
3. Wanaotaka kuchanjwa wachanjwe.
4. Wasiotaka kuchanjwa waachwe wasichanjwe.
5. Wanaotaka kuhubiri kutetea chanjo waachwe wahubiri.
6. Wanaotaka kuhubiri kukataa chanjo waachwe wahubiri.
7.Factual claims must be defended logically ang factually.
8.Baada ya muda tutajifunza.
Kumlazimisha mtu sana kuchanja kunaweza kusababisha imani kwamba kuna ajenda nyingine zaidi ya chanjo tu.
Ikiwa chanjo zinafanya kazi, wasiochanja wataona tu.
Uhai una thamani sana, lakini hauna thamani kiasi cha kuulazimisha. Maana yake, ukilazimisha mtu ajali uhai wake, wakati yeye mwenyewe hajali, unaupunguzia thamani uhai wake.
As long as chanjo zinalinda wanaochanja, na mpaka sasa new variants hazijaweza kuchenga chanjo, tuhakikishe kuna chanjo za kutosha kuwachanja wote wanaotaka, na wasiimotaka chanjo waachiwe wasichanje.
If there is an Extinction Level Event to wipe out all humankind because not enough people want to vaccinate, as a species, that will prove we probably are not smart enough to deserve to live anyway.