Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sifa na Utulufu ni Kwa Bwana.Hii pekee ndiyo ishara ambayo Mungu kaiweka wazi ili kila mtu mwenye HEKIMA na UFAHAMU atambue ukuu wa Mungu..
Ni ajabu kuwa Kuna watu wakiwemo watawala wanamkufuru Mungu kusema "hazikumpata vizuri.."
Kule DRC Kuna askari wetu kadhaa wamekufa kwa risasi Moja Moja tu za mapajani na matakoni tu lakini huyu mwamba na mteule wa Mungu, kachapwa risasi 37 kwa dhamira ya makusudi ya kumuua kabisa huku wauaji wakiwa umbali usiozidi mita 8 lakini jamaa YU HAI HATA SASA..!!
This is a miraculous miracle...
Ilinishangaza kwamba Maamuzi ya kugombea Mwenyekiti aliyafanya in less than 1 month. Akamshinda Tajiri Mkubwa sana mwenye uwezo, nguvu, pesa, watu na Ukuu woote