Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Amewapiku wale waganga waliochinja mbuzi juzi😅😅Nabii wa uongo kwenye ubora wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amewapiku wale waganga waliochinja mbuzi juzi😅😅Nabii wa uongo kwenye ubora wake
Na wewe sasa peleka ujumbe huu kwa huyo ambaye kajipitisha majuzi - awe tayari na yeye kukutana na maono ya Muumba Mbingu na nchi.Amina, barikiwa Mtumishi
Mkuu uwe na adabu basi. Huwezi kucomment bila kutoa maneno ya kashifa na matusi?Bi Samia Suluhu Hassan anapitia njia ileile aliyopitia mwendazake John P. Magufuli...
Tena huyu yeye ni mjinga na mpuuzi kupindukia na mwepesi kuliko hata unyoya wa kuku..
After all ni "intruder" au kwa kiswahili "mvamizi". Yaani raia wa nchi ya kigeni iitwayo Zanzibar kuitawala nchi nyingine iitwayo Tanganyika..
Huyu asiposikia, hafikishi hata hiyo oktoba ya mwaka huu 2025...
Tupo hapa na tutakumbushana..
Uamsho (awakening) hiyo ndugu iko kazini...Ujasiri wa Watumishi wa siku hizi sio wa kawaida ukizingatia context ya kisiasa za Tzanzania
Ukienda Youtube kuna Watumishi wa Mungu zaidi ya 20 wana address Utukufu wa Mungu kupitia muujiza na matukio ya Lissu wakihusianisha na Kaanani ijayo
Kwani CDM wamempitisha nani mgombea urais?Ni kama uraisi wa Trump, alionekana mlopokaji.... Yupo ikulu ya Marekani. Ngoja hizi mbio za huyu baba na bibi zije....
Umekereka kwa sababu ya maneno "mjinga" na "mpumbavu?"Mkuu uwe na adabu basi. Huwezi kucomment bila kutoa maneno ya kashifa na matusi?
Hatupendi kuona unatweza utu wa mtu tena kiongozi wa Nchi.
Umenikera sana
Ameen AmeenUamuka (awakening) ndugu iko kazini...
Hii ni ishara ya maandalizi ya wazi mno kwa ajili ya Mungu kuitembelea nchi na taifa letu la Tanganyika. Si tu kuitembelea Bali kuikoa na kuiponya toka ktk utumwa wa hayawani wa kijani...
Mabadiliko makubwa ya nyakati na majira. Tanganyika inaingia ktk majira na nyakati mpya kabisa. Bwana asema...
Jaribuni muone..Uhamiaji inamhusu huyo Nabii!
Siku akiambiwa alete cheti cha babu wa babu yake ndipo atakapojutia unabii wake.
View: https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb
➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...."
➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa..
➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka kusudi lake ndani yake juu ya nchi na taifa hili la Tanganyika. Na kusudi hili Mungu atalitimiza kupitia kwake. Kifo kimezuiliwa kabisa kwake hadi kusudi hilo litimie
➡️Anaendelea kusema kuwa, si kwamba hakuna watu wengine ambao Mungu angeweza kuwatumia. Ila kwa sasa ni wakati wa Tundu Lissu...
➡️ Anasema pia kuwa, inawezekana hata yeye Tundu Lissu hajui ni kwanini anafanya baadhi ya mambo na yanafanikiwa. Ni kwa sababu kila analofanya lina nguvu (msukumo wa Mungu) na litafanikiwa..
➡️Amemaliza kwa kusema, maisha yake si marefu sana. Mara atakapokuwa ametimiza kusudi la Mungu, hapo MUNGU ataruhusu kuondoka (kufa) kwake...
➡️Kwa Sasa hakuna wa kuzuia jambo lolote atakalopanga kulifanya lenye mwelekeo wa KUTIMIZA KUSUDI HILI LA MUNGU NDANI YAKE juu ya nchi na taifa hili kwa sababu SI YEYE BALI NI MUNGU YEHOVA NDANI YAKE ANATENDA KAZI...!
##Sasa jiulize swali hili:
Kwamba, kuna binadamu au shetani gani awezaye kuzuia mipango na makusudi ya Mungu? Je, Mungu akiamua jambo fulani liwe, haliwezi kuwa...?
##Chawa wa CCM na mama Samia karibuni kwa maoni yenu..
Nabii au unabii wa uongo hupimwa ktk mizani ya Neno la Mungu..Nabii wa uongo kwenye ubora wake
Kwani tofauti ya kimantiki ya hoja yako hii na unabii huu ni nini..?Pamoja na kwamba siipendi CCM lakini Lissu hawezi kuiangusha CCM labda huko ndani ya CCM kutokee mtifuano
Mkuu wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kuzuia , sio Mda itakua zamu ya mzee wa upako.Ujasiri wa Watumishi wa siku hizi sio wa kawaida ukizingatia context ya kisiasa za Tzanzania
Ukienda Youtube kuna Watumishi wa Mungu zaidi ya 20 wana address Utukufu wa Mungu kupitia muujiza na matukio ya Lissu wakihusianisha na Kaanani ijayo
Josephat Mwingira....alisema Lissu is a victor, no one can conquer him.Mkuu wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kuzuia , sio Mda itakua zamu ya mzee wa upako.
Kuna kuna mchungaji mmoja sijui anaitwa Mch alitamka maneno mazito kwa Lissu, kipindi cha mwendazake , e bwana unaambiwa alipata misukosuko Mingi sana , ana kama sikosei mch Mwigira sina hakika sana na jina hili ,
Alisema lissu ni mshindi ,kapigwa lisasi 16, na nyingine anatembea nayo ,
Mbaya alie mpitisha mapito tulishamsahau yuko huko chato ,
Thanks mkuuJosephat Mwingira....alisema Lissu is a victor, no one can conquer him.
And He Said!
Look he has no Media. No Gazzete, no Flag with Him his infos are never supported by mainstream media but Wherever he goes A massive Population following him. This is Miracle.
Wakoma wakasema pamoja na kwamba wale Washamu ni watu katili na wenye siraha hii njaa itatuua hapa. Wakasema bora tukafie kule kule vitani kuliko tufie mjini Hapa Samaria.Kwani tofauti ya kimantiki ya hoja yako hii na unabii huu ni nini..?
Tundu Lissu si kwamba atatumia mikono yake kuisukuma CCM na utawala wake uanguke..
Maana yake hapa ni kuwa, yapo matukio yatasababishwa na Mungu mwenyewe kwa kumtumia TL kuyaelekeza liliko tatizo au aliko adui..
Maadui wataanza kugeukana na kupingana na kupigana wenyewe kwa wenyewe hadi wauane na kumalizana..
Twende kwenye mifano ya kwenye Biblia:
Unawakumbuka wale wakoma (wa - Israel) dhidi ya jeshi kubwa na lenye nguvu la Washami? Tukio hili limerekodiwa katika Biblia kitabu cha 👇👇👇👇
[SOMA: 2 WAFALME 7:1 -20]
Mungu aliwatumia wakoma (watu waliotengwa na kudharauliwa katika jamii, watu wasio na status yoyote kama fedha, vyeo serikalini, utajiri ) kuliokoa taifa zima la Israel dhidi ya ukandamizaji na uonevu wa taifa la kigeni la Washami..
Alichofanya Mungu ni kuipa nguvu fulani miguu ya wakoma waliokuwa wakielekea kwenye kambi ya jeshi la Washami..
Wao Washami waliona na kusikia kishindo kikuu cha mamilioni ya wanajeshi wa Israel wakiwafuata Ili kuwapiga na kuwaangamiza...
Kuona hivyo, waligeukana na kuanza kuuana wewenyewe kwa wenyewe wakiacha kila Kitu fedha, chakula, mifugo, magari na nyara nyingi zingine..
From there, Israel akakombolewa na kuokoka...
Washukuriwe wale WAKOMA MAJASIRI...
Hii ndiyo logic ya unabii huu...
Kwa macho ya kawaida upo sawa , mda mwalimPamoja na kwamba siipendi CCM lakini Lissu hawezi kuiangusha CCM labda huko ndani ya CCM kutokee mtifuano