JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Time will tellKwa macho ya kawaida upo sawa , mda mwalim
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time will tellKwa macho ya kawaida upo sawa , mda mwalim
Basi na mimi ninatabiri Mama Samia atashinda kwa zaidi ya 90% kwenye uchaguzi mkuu.Nabii au unabii wa uongo hupimwa ktk mizani ya Neno la Mungu..
Wewe unathibitishaje kuwa huyu ni nabii au huu ni unabii wa uongo..?
Imeandikwa "msiutweze kila unabii" bali tuuweke ktk mizani na hakima ya ki - Mungu kabla ya kusema huu ni kweli au uongo..
Mimi nimeupima. Una ukweli wa zaidi ya 200%...!!
Binafsi ningekuelewa kidogo iwapo ungesema "...huo sio unabii bali ni mtazamo na maoni yake binafsi ya kibinadamu..."
Though swali lingebaki kuwa lilelile: Justify that this is a false prophecy by using The Holy Bible...
Na mimi ninatabiri kama hiyo 90% inatokana na mipango ya ccm iliyopo ya kuiba kura, miezi mitatu kabla ya uchaguzi samia atakufa. Malaika wa Mungu Azrael atam-delete samia.Basi na mimi ninatabiri Mama Samia atashinda kwa zaidi ya 90% kwenye uchaguzi mkuu.
Hayo ni maoni yako..Basi na mimi ninatabiri Mama Samia atashinda kwa zaidi ya 90% kwenye uchaguzi mkuu.
Utabiri ukiwa kuhusu CHADEMA unakuwa wa kibiblia?Hayo ni maoni yako..
Na kusema ukweli wewe ndiye hasa nabii wa uongo maana unabii wako hauwezi kuthibitika kibiblia...!!
Tusimwombee kifo huyu mama ndo weakness kubwa na breakthrough ya Lissu.Na mimi ninatabiri kama hiyo 90% inatokana na mipango ya ccm iliyopo ya kuiba kura, miezi mitatu kabla ya uchaguzi samia atakufa. Malaika wa Mungu Azrael atam-delete samia.
Nabii wa ukweli ni wale waliosema watatuma majini yamshindishe huyo kwenye ID yako!!??Nabii wa uongo kwenye ubora wake
Napata furaha na amani kuu kila nisomapo andiko lako.Absolutely, Yes...
Lakini si tu kwa sababu napenda kuyasikia hayo..
Bali ni kwa sababu nimeyasikia, nikayapima ktk mizani ya HEKIMA na UFAHAMU wa Neno la Mungu, hatimaye nikasema moyoni mwangu, hii hakika ni kweli isiyo na shaka...
Aidha mfano wa Yusufu wa kwenye Biblia ambaye ndugu zake kabisa (watoto 11 wa mzee Yakobo aliyebadilishwa jina baadaye na kuwa Israel) waliokula njama za kumuua lakini miraculously Mungu akamwokoa, umenifanya nisiwe na shaka kabisa na mantiki ya unabii huu...
Kwanini Mungu hakuruhusu Yusufu afe?
Ni kwa sababu Yusufu alibeba kusudi la Mungu juu ya taifa la Israel na ulimwengu huu tuliomo sasa kwa ujumla. Kama Yusufu angekufa, mpango wa kuja kwa Yesu Kristo mkombozi na mwokozi wa ulimwengu wote na watu wake ungefia njiani na kumlazimu Mungu kuja na plan nyingine. Hili hakuruhusu litokee...!
Kwani Mungu hajaruhusu Tundu Lissu afe kwa risasi 16 mwilini mwake huku wengine wakifa kirahisi tu kwa shida ndogo tu ya upumuaji kama John P. Magufuli kwa kupigwa risasi Moja tu ya matakoni..?
JIBU: Ni kwa sababu Tundu Lissu amebeba kusudi la Mungu analopaswa kulitimiza kabla ya kufa kwake. Na kusudi hili ni kuiponya na kuikoa Tanganyika na watu wake toka MIKONONI mwa hayawani wa utawala wa CCM uliodumu kwa zaidi ya miaka 64 sasa...!!
Kwa hiyo KUTOAMINI kwako hakuwezi kumzuia Mungu kutekeleza kusudi lake juu ya nchi yetu kwa njia zake na kwa kumtumia mtu yeyote anayeweza kumchagua yeye...
Ameeni, Mungu Yupo AminiKama MUNGU yupo kweli na afanye namna iwezekanavyo ccm ipotee Ili waTanganyika wawe huru!
subiri utamjua kuwa ni yeyeKwani CDM wamempitisha nani mgombea urais?
View: https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb
➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...."
➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa..
➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka kusudi lake ndani yake juu ya nchi na taifa hili la Tanganyika. Na kusudi hili Mungu atalitimiza kupitia kwake. Kifo kimezuiliwa kabisa kwake hadi kusudi hilo litimie
➡️Anaendelea kusema kuwa, si kwamba hakuna watu wengine ambao Mungu angeweza kuwatumia. Ila kwa sasa ni wakati wa Tundu Lissu...
➡️ Anasema pia kuwa, inawezekana hata yeye Tundu Lissu hajui ni kwanini anafanya baadhi ya mambo na yanafanikiwa. Ni kwa sababu kila analofanya lina nguvu (msukumo wa Mungu) na litafanikiwa..
➡️Amemaliza kwa kusema, maisha yake si marefu sana. Mara atakapokuwa ametimiza kusudi la Mungu, hapo MUNGU ataruhusu kuondoka (kufa) kwake...
➡️Kwa Sasa hakuna wa kuzuia jambo lolote atakalopanga kulifanya lenye mwelekeo wa KUTIMIZA KUSUDI HILI LA MUNGU NDANI YAKE juu ya nchi na taifa hili kwa sababu SI YEYE BALI NI MUNGU YEHOVA NDANI YAKE ANATENDA KAZI...!
##Sasa jiulize swali hili:
Kwamba, kuna binadamu au shetani gani awezaye kuzuia mipango na makusudi ya Mungu? Je, Mungu akiamua jambo fulani liwe, haliwezi kuwa...?
##Chawa wa CCM na mama Samia karibuni kwa maoni yenu..
ujasiri huu wa kuyanena haya maneno umetokea kwa Mungu mwenyewe! Atamlinda!Prophet Atembee na Bullet proof, Yaani Bullet Proof ambazo ni Ulinzi wa Neno la Mungu. Sio zile za vyuma
Sasa hivi baadhi ya watumishi wanatumia kila sarakasi ili wa trend iwe kutoa unabii kwa mtu mpagani asiyeokoka kuwa atakuwa mtu mkubwa na stafanikiwa sana pamoja na kuwa muovuujasiri huu wa kuyanena haya maneno umetokea kwa Mungu mwenyewe! Atamlinda!
Sasa hivi baadhi ya watumishi wanatumia kila sarakasi ili wa trend iwe kutoa unabii kwa mtu mpagani asiyeokoka kuwa atakuwa mtu mkubwa
Unabii wake wa kushetani kama ana ujasiri alitakiwa akamhubirie Lisu aokoke kwanza na kubatizwa kisha baada ya hapo ndipo asiikilize Mungu anasemaje juu ya Lisu
Kujiita nabii na kumtabiria mtu mwovu kuwa atafanikiwa hivyo hivyo alivyo na midhambi yake ni unabii wa kipepo na kishetani
Hakuna nabii hapo .Kuna binadamu wa kawaida mwenye mapenzi tu na Lisu anayetumia jina la Mungu bure na kulitaja bure
Hakuna unabii toka kwa Mungu hapo
Anatumia tu jina la Lisu ku trend kidunia sababu Roho Mtakatifu kakataa ku m trend
Ukitaka kujua nabii wa uongo sio kazi kubwaAmeongea uhalisia haswa