Prophet Denis Tanzania: Tundu Lissu amebeba ajenda ya Mungu ndani yake. Asipopewa nafasi, hasara sio yake bali ni ya taifa na nchi...!!

Mkuu uwe na adabu basi. Huwezi kucomment bila kutoa maneno ya kashifa na matusi?

Hatupendi kuona unatweza utu wa mtu tena kiongozi wa Nchi.

Umenikera sana
 
Ujasiri wa Watumishi wa siku hizi sio wa kawaida ukizingatia context ya kisiasa za Tzanzania


Ukienda Youtube kuna Watumishi wa Mungu zaidi ya 20 wana address Utukufu wa Mungu kupitia muujiza na matukio ya Lissu wakihusianisha na Kaanani ijayo
Uamsho (awakening) hiyo ndugu iko kazini...

Hii ni ishara ya maandalizi ya wazi mno kwa ajili ya Mungu kuitembelea nchi na taifa letu la Tanganyika. Si tu kuitembelea Bali kuikoa na kuiponya toka ktk utumwa wa hayawani wa kijani...

Mabadiliko makubwa ya nyakati na majira. Tanganyika inaingia ktk majira na nyakati mpya kabisa. Bwana asema...
 
Mkuu uwe na adabu basi. Huwezi kucomment bila kutoa maneno ya kashifa na matusi?

Hatupendi kuona unatweza utu wa mtu tena kiongozi wa Nchi.

Umenikera sana
Umekereka kwa sababu ya maneno "mjinga" na "mpumbavu?"
Hayo sio matusi. Hiyo sio kashfa. Hizo ni sifa azibebazo mtu yeyote...

Mimi nimeyatumia kwa sababu ndivyo ilivyo. Huyu aliyekuwa refered hapa, typically anazo sifa hizi..

Lililo muhimu endelea kumuombea Ili atoke kwenye ujinga na upumbavu, awe mwerevu na mwenye HEKIMA ktk kufanya maamuzi yake..

Nasikitika kuwa umekereka. Pole sana, Sina namna ya kukusaidia...
 
Ameen Ameen
 
Uhamiaji inamhusu huyo Nabii!
Siku akiambiwa alete cheti cha babu wa babu yake ndipo atakapojutia unabii wake.
 
Pamoja na kwamba siipendi CCM lakini Lissu hawezi kuiangusha CCM labda huko ndani ya CCM kutokee mtifuano
 
Nabii wa uongo kwenye ubora wake
Nabii au unabii wa uongo hupimwa ktk mizani ya Neno la Mungu..

Wewe unathibitishaje kuwa huyu ni nabii au huu ni unabii wa uongo..?

Imeandikwa "msiutweze kila unabii" bali tuuweke ktk mizani na hakima ya ki - Mungu kabla ya kusema huu ni kweli au uongo..

Mimi nimeupima. Una ukweli wa zaidi ya 200%...!!

Binafsi ningekuelewa kidogo iwapo ungesema "...huo sio unabii bali ni mtazamo na maoni yake binafsi ya kibinadamu..."

Though swali lingebaki kuwa lilelile: Justify that this is a false prophecy by using The Holy Bible...
 
Pamoja na kwamba siipendi CCM lakini Lissu hawezi kuiangusha CCM labda huko ndani ya CCM kutokee mtifuano
Kwani tofauti ya kimantiki ya hoja yako hii na unabii huu ni nini..?

Tundu Lissu si kwamba atatumia mikono yake kuisukuma CCM na utawala wake uanguke..

Maana yake hapa ni kuwa, yapo matukio yatasababishwa na Mungu mwenyewe kwa kumtumia TL kuyaelekeza liliko tatizo au aliko adui..

Maadui wataanza kugeukana na kupingana na kupigana wenyewe kwa wenyewe hadi wauane na kumalizana..

Twende kwenye mifano ya kwenye Biblia:

Unawakumbuka wale wakoma (wa - Israel) dhidi ya jeshi kubwa na lenye nguvu la Washami? Tukio hili limerekodiwa katika Biblia kitabu cha 👇👇👇👇

[SOMA: 2 WAFALME 7:1 -20]

Mungu aliwatumia wakoma (watu waliotengwa na kudharauliwa katika jamii, watu wasio na status yoyote kama fedha, vyeo serikalini, utajiri ) kuliokoa taifa zima la Israel dhidi ya ukandamizaji na uonevu wa taifa la kigeni la Washami..

Alichofanya Mungu ni kuipa nguvu fulani miguu ya wakoma waliokuwa wakielekea kwenye kambi ya jeshi la Washami..

Wao Washami waliona na kusikia kishindo kikuu cha mamilioni ya wanajeshi wa Israel wakiwafuata Ili kuwapiga na kuwaangamiza...

Kuona hivyo, waligeukana na kuanza kuuana wewenyewe kwa wenyewe wakiacha kila Kitu fedha, chakula, mifugo, magari na nyara nyingi zingine..

From there, Israel akakombolewa na kuokoka...

Washukuriwe wale WAKOMA MAJASIRI...

Hii ndiyo logic ya unabii huu...
 
Ujasiri wa Watumishi wa siku hizi sio wa kawaida ukizingatia context ya kisiasa za Tzanzania


Ukienda Youtube kuna Watumishi wa Mungu zaidi ya 20 wana address Utukufu wa Mungu kupitia muujiza na matukio ya Lissu wakihusianisha na Kaanani ijayo
Mkuu wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kuzuia , sio Mda itakua zamu ya mzee wa upako.

Kuna kuna mchungaji mmoja sijui anaitwa Mch alitamka maneno mazito kwa Lissu, kipindi cha mwendazake , e bwana unaambiwa alipata misukosuko Mingi sana , ana kama sikosei mch Mwigira sina hakika sana na jina hili ,

Alisema lissu ni mshindi ,kapigwa lisasi 16, na nyingine anatembea nayo ,

Mbaya alie mpitisha mapito tulishamsahau yuko huko chato ,
 
Josephat Mwingira....alisema Lissu is a victor, no one can conquer him.
And He Said!
Look he has no Media. No Gazzete, no Flag with Him his infos are never supported by mainstream media but Wherever he goes A massive Population following him. This is Miracle.
 
Thanks mkuu
 
Wakoma wakasema pamoja na kwamba wale Washamu ni watu katili na wenye siraha hii njaa itatuua hapa. Wakasema bora tukafie kule kule vitani kuliko tufie mjini Hapa Samaria.

Hii ni Kauli ya Tundu Lissu akiwa Ubelgiji 2020. Kwamba pamoja na kwamba waliotaka kuniua hawajulikani na ni watu hatari mimi nitarudi nyumbani kugombea urais wakitaka waniue tu
 
Kama MUNGU yupo kweli na afanye namna iwezekanavyo ccm ipotee Ili waTanganyika wawe huru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…