Prophet Denis Tanzania: Tundu Lissu amebeba ajenda ya Mungu ndani yake. Asipopewa nafasi, hasara sio yake bali ni ya taifa na nchi...!!

Basi na mimi ninatabiri Mama Samia atashinda kwa zaidi ya 90% kwenye uchaguzi mkuu.
 
Na mimi ninatabiri kama hiyo 90% inatokana na mipango ya ccm iliyopo ya kuiba kura, miezi mitatu kabla ya uchaguzi samia atakufa. Malaika wa Mungu Azrael atam-delete samia.
Tusimwombee kifo huyu mama ndo weakness kubwa na breakthrough ya Lissu.

Ukweli utabaki kuwa mtu yeyote wa rohoni anajua Lissu ndo chaguo la Mungu Kwa Tanganyika yetu kwasasa, anayefikiria hili kwa ufahamu wake wa kibinadamu hawezi kuliona lililopo mbele ya taifa hili na obvious atakuwa mbishi na kupinga Kwa nguvu zote.

Ukitaka kuona dalili ya huu unabii. Anzia kwenye taratibu zilizotumika kumpitisha mgombea wa CCM. Hakika nawaambieni Mungu amewapiga UPOFU CCM kwa kuvunja katiba yao makusudi kabisa kitu ambacho hakijawahi tokea kwenye hiki chama. Mbili; wamevunja katiba na kumpitisha mgombea asiyekubalika na Watanganyika (wapambe wooote wanaosema mi5 tena ndo machawa, ndo wasanii wasaka pesa, ndo wateuliwa wanaopambania nafasi zao kwenye serikali inayokuja), ki ukweli huku mtaani Maza hauziki ndo mana narudi kwenye point yangu kuwa CCM wamepigwa UPOFU na Mungu Ili kusudi lake litimie.
 
Majini oyeee, safari hii majini yatarudi kuzimu kwa maumivu makubwa sana.

Ila ikumbukwe yapo majini yanayopenda haki, sasa itaanza kwao ujinini kati ya majini mahovu na yale ambayo hayapendi uhovu, yakimalizana , yatukuja kutana na sisi wabarikiwa wa Mungu , biashara mapema sana.
 
Napata furaha na amani kuu kila nisomapo andiko lako.
Kongole na uzidi kubarikiwa ndugu.
 
🚮🚮
 
ujasiri huu wa kuyanena haya maneno umetokea kwa Mungu mwenyewe! Atamlinda!
Sasa hivi baadhi ya watumishi wanatumia kila sarakasi ili wa trend iwe kutoa unabii kwa mtu mpagani asiyeokoka kuwa atakuwa mtu mkubwa na stafanikiwa sana pamoja na kuwa muovu

Unabii wake wa kishetani na haukidhi viwango vya kinabii kama ana ujasiri alitakiwa akamhubirie Lisu aokoke kwanza na kubatizwa kisha baada ya hapo ndipo asiikilize Mungu anasemaje juu ya Lisu

Kujiita nabii na kumtabiria mtu mwovu kuwa atafanikiwa hivyo hivyo alivyo na midhambi yake ni unabii wa kipepo na kishetani

Hakuna nabii hapo .Kuna binadamu wa kawaida mwenye mapenzi tu na Lisu anayetumia jina la Mungu bure na kulitaja bure

Hakuna unabii toka kwa Mungu hapo

Anatumia tu jina la Lisu ku trend kidunia sababu Roho Mtakatifu kakataa ku m trend
 

Utajua mwenyewe
 
Ameongea uhalisia haswa
Ukitaka kujua nabii wa uongo sio kazi kubwa

Mfano ukiona anatoa unabii kwa mtu ambaye ni muovu badala ya.kumtaka huyo mtu atubu dhambi anakimbilia kusema utafanikiwa hivyo na uovu wako. jua hamna nabii hapo kuna mganga njaa tu

Hicho alichotoa kuita ni unabii ni kudhalilisha huduma ya kinabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…