Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
-
- #61
Hizo ni nadharia tu za kwenye makaratasi mkuu. Mbona marudio ya uchaguzi mnapoteza pesa nyingi badala ya kuchagua mbunge mwingine kutokea chama kile kile cha mbunge wa zamani??..Time is a factor of production.
Je unajua watu wasipoenda kazini siku Moja ni kiasi gani cha fedha hupotea?
Je unafahamu kwa hiyo siku iliyopotea serikali inapoteza kiasi gani cha Kodi?
Poa Mzee baba..Nakazia Wafanye Hivyo Hivyo
Kwani hizo tarehe 25 na 26 uzalishaji anafanya nani??..Watanzania ni wavivu mno,
Angalia mawazo tu ya mtoa mada,
Unataka tu upumzike hlf uzalishaji akafanye nani?
Mimi ni mlalahoi Muuza Maembe. Mjinga ni bab* yako..Ujinga tu....acha kazi ulale mwaka mzima nyumbani.
Mapumziko ni muhimu sana katika kuijenga afya njema ya akili..Hayo ni mawazo ya kivivu na ndio maana hatupigi hatua tunawaza kulala na kustarehe!
70% of Tanzanians are negative-minded fellas.Kwa nini iwe ukosoaji tu na si uungaji mkono wenye kuonesha furaha?
Linaweza kuwa wazo jema.Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30.
Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza kupumzisha akili kisha kazi zikaanza Jumatatu.
NB: Mapumziko ya kutosha, huimarisha afya ya akili na kusaidia kuongeza ufanisi kazini.
Ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism)
Wao walishamaliza hawanuki shida kama zenuHapo ukisema waafrika unakosea patupu! Hivi hujui Ulaya hii ni festive holiday kabisa ya watu kusafiri mpaka vacation nchi nyingine?
Poa mkuu..Naunga mkono hoja.
Mtu anakula Xmas Rombo Jumatano na Alhamisi alafu unataka arudi Dar kwa ajili ya siku moja tu?? Wengi hawatakuja hiyo Ijumaa. Trust me..Linaweza kuwa wazo jema.
Sisi tunaohitaji huduma tutahudumiwa na nani?
Yaani siku ya mwisho ya huduma iwe Jumanne hadi Jumatatu inayofuata.
Hili ni juma zima. Yaani siku 7 tumo kwenye sherehe.
Hii ni zaidi hata ya Israel ambako dini ilianzia.
Kwahiyo ukifanya kazi siku hiyo ya December 27, ikifika December 28, Tanzania inakuwa kama Marekani??Wao walishamaliza hawanuki shida kama zenu
Just a day off. Mbona Nyerere Day mnapumzika mkuu??watanzania tunapenda mapumziko mno kuliko kazi, masaa nane tu ya kufanya kazi hatufanyi kwa bidii na ufanisi
Vp kuhusu Idd Pili??..Boxing day ingefutwa haina mana yoyote ile
Sawa mkuu..Wavivu wapo wengi
Mbona Police na Nurse hawapumziki?? Hata wewe haujalazimishwa mkuu??..Mnaolipwa mwisho wa mwezi mna tabu sana.
sisi wenzio tunavyoingia ndivyo tunavyolipwa..
nikilala siku moja ya wiki.nimekosa 16,700.nimekosa nssf nimekosa chakula Cha mchana Bure.sipendi sikukuu hizi ila tu Sina namna
upumzike kwa kazi ipi mkuuJust a day off. Mbona Nyerere Day mnapumzika mkuu??
Mbona Nyerere na Karume Day mnapumzika mkuu??upumzike kwa kazi ipi mkuu