PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

Haujalazimishwa kupumzika mkuu. Hata Mama na Baba Lishe wanafungua biashara siku hizo za mapumziko..
Siwezi kwenda kazini Sabab kampuni ninayofanya kazi unafuata Sheria zote za nchi.unaposema ijumaa iwe mapumziko ina maana sintoweza kuingia kazini.na Nia hasara.ila kama wewe ni wale wa kusubiri Kodi za watu ndo ulipwe MSHAHARA hauwezi elewa.
 
Mbona hizo tarehe 25 na 26 haulalamiki??
 
Vacations/mapumziko ni muhimu na uongeza utendaji kazi kwa maana mtu anakuwa na afya njema ya akili.

Unaweza ukaendesha gari kutoka Dar mpaka Lusaka bila kupumzika??

Jumamosi na jumapili zimewekwa za kazi gani ?

Kwa nini unataka upumzike ijumaa wakati kuna jmos na jpili
 
Jumamosi na jumapili zimewekwa za kazi gani ?

Kwa nini unataka upumzike ijumaa wakati kuna jmos na jpili
Sio kila Ijumaa mkuu. Ijumaa hii ya December 27, 2024, ni "special case"

RESTING.>> JUMATANO
RESTING.>> ALHAMISI
KAZINI.>> IJUMAA
RESTING.>> JUMAMOSI
RESTING.>> JUMAPILI
 
Mkuu Maembe unayo hapo? Nahitaji nipo Kisemvule hapa
 
Kikwete ndio alikua anatufanyia wepesi kwenye tarehe za hivyo
 
Natamani hata hiyo Christmas ingefutiliwa mbali.
 
Mbona huko kwenye ofisi za umma utegaji mwingi tu.
Nenda mahospitalini kero tupu. Nenda ardhi utajuta kumiliki ardhi, nenda kumuona mkurugenzi bora upeleke barua ya posa taka kufanya uhamisho wa mtumishi utafikiri unahama nchi. Hata anayeomba uraia anapewa haraka zaidi kuliko wewe
Kama vipi WAPUMZISHWE TU KUANZIA KRISMAS HADI MWAKA MPYA ILI ISIWE TABU
 
Hauoni kama zipo kisheria?hyo ijumaa yako ipo kisheria?
Hata hizo siku mbili tuna poteza 30,000+ ni vile hatuna namna
Hata hiyo Ijumaa moja utapoteza financially lakini uta-gain psychologically, trust me..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…